Samsung galaxy j8

Samsung galaxy j8

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
350
Wakuu,
Kwanza nikiri tu kuwa si mzoefu hata kidogo wa simu za Samsung.
Nimekuwa natumia Tecno tu tangu mwaka 2012, kila toleo nanunua na kwa hiyo ninao uzoefu ktk kutumia smartphone za Tecno.
Hadi sasa natumia camon C9 plus.
Juzi kati hivi binti yangu kanitumia zawadi ya Samsung galaxy j8 ambayo listi ya TRA inaonesha imenunuliwa kwa tshs. 640,000/-, lakini kiukweli sijapata raha na simu hii.
Network very slow, picha na video very blurred nk.

Wataalam wa mambo haya na wazoefu wa bidhaa za Samsung, naombeni msaada wenu on how to use the very phone effectively ili na mie nifurahie radha ya simu hizi zinazosifiwa na watu wengi.

Natanguliza shukrani.
1546067500235.jpeg
1546067652964.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J8.jpg

Inaonekana ina specs nzuri 16MP hauwezi sema ina blur,mwambie aje kukupa somo jinsi ya kuitumia.
 
Ni kweli mkuu Specs ziko vzr sana hata mie nashangaa ndo maana nikaja hapa kupewa mautaalam. Yeye anaishi Zanzibar mi nipo Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uzoefu wa simu za samsung mie natumia sana iphone ila simu yeyote nikipewa nitaweza kuitumia as long ina dialer,browser,settings,camera nitaitumia tu mubashara!!
 
Wakuu,
Kwanza nikiri tu kuwa si mzoefu hata kidogo wa simu za Samsung.
Nimekuwa natumia Tecno tu tangu mwaka 2012, kila toleo nanunua na kwa hiyo ninao uzoefu ktk kutumia smartphone za Tecno.
Hadi sasa natumia camon C9 plus.
Juzi kati hivi binti yangu kanitumia zawadi ya Samsung galaxy j8 ambayo listi ya TRA inaonesha imenunuliwa kwa tshs. 640,000/-, lakini kiukweli sijapata raha na simu hii.
Network very slow, picha na video very blurred nk.

Wataalam wa mambo haya na wazoefu wa bidhaa za Samsung, naombeni msaada wenu on how to use the very phone effectively ili na mie nifurahie radha ya simu hizi zinazosifiwa na watu wengi.

Natanguliza shukrani.View attachment 980212View attachment 980214

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti ameuziwa copy angalia hii picha ya original alafu linganisha na yako utaona tofauti angalia camera na fingerprint zilivyo tofauti
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom