Usituletee uharo wako hapa. Kamuulize Abdul huko.Wadau naombeni kuuliza ubora wa Samsung Galaxy A36 ninataka nimununulie Bi Mkubwa simu kwake kwa ajili ya kupiga na kupokea simu she is around 60โs
Kingine Price yake inaweza kuwa shilingi ngapi? Kwa maduka ya Tanzania? Na Ni maduka gani highly recommend? Kwa sababu binafsi Samsung Sijawahi kutumia nisije nikanunua Famba.
Samasung Huwa wana verify vipi? Kama ni original au siyo?
C.c Msaada kwa wanaojua Chief- mkwawa
Ondoa uharo wako humu umpelekee Abdul huko.Vipi ndugu mbona unanitusi bila sababu?
Humu Jamii forums ukiona watu na mikogo yao, kumbe sote ni Makapuku tu.Kingine Price yake inaweza kuwa shilingi ngapi? Kwa maduka ya Tanzania? Na Ni maduka gani highly recommend? Kwa sababu binafsi Samsung Sijawahi kutumia nisije nikanunua Famba.
Sijawahi kujikweza ndugu na maisha magumu niliishi sema zamani sana Simu yangu hii hapa screen shot ya saa 0016 bado ina manufacturer Warranty.Humu Jamii forums ukiona watu na mikogo yao, kumbe sote ni Makapuku tu.
Hiyo simu sio ya Bi Mkubwa wala nini sema ni yako๐๐๐
Wakna misifa wa jf hao kwmb kupga na kupokea hujui hata cm za batan znafaa kbs eti samsung A36 unauliza kama inafaa kwa matumiz hayo, unajzma data kwmb watanzania walio wengi wanatumia tecno na infinix tena za kzaman sn na wanapga cm na kupokea na kuingia mitandaon je uyo wa A36 YE VP..
Sawa mkuuSijawahi kujikweza ndugu na maisha magumu niliishi sema zamani sana Simu yangu hii hapa screen shot ya saa 0016 bado ina manufacturer Warranty.
View attachment 3528155
Siyo shida zangu utajua mwenyewe?Wakna misifa wa jf hao kwmb kupga na kupokea hujui hata cm za batan znafaa kbs eti samsung A36 unauliza kama inafaa kwa matumiz hayo, unajzma data kwmb watanzania walio wengi wanatumia tecno na infinix tena za kzaman sn na wanapga cm na kupokea na kuingia mitandaon je uyo wa A36 YE VP..
fala wewe abdul amekupa hela ya kununulia cm ili uendelee kukashifu watanganyika humu umepewa ofa baada ya kuandka kashfa nyng sn kwa waliouwawa mo29 uko promoted na A17 pambana kukashfu marehemu waliouwawa kwny maandamano wakupe hata samsung used note 20 maana ndo ajira yako iyo kaza sasa, mmepewa kaofsi hapo lumumba kila mtu ana akaunti fake za kutosha jf, insta, x, fb. Hivi na nyie mnatumia vpn kuingia jf na x? Si mabwana zenu wamezfungia sa tunashangaa tunawaona huku.Siyo shida zangu utajua mwenyewe?
Kuna memba humu wanahasira kali kupitiliza!Wana jamii mna hasira kali Sana, au na nyinyi modes Active mme guswa ๐๐
Abdul ndo nani?fala wewe abdul amekupa hela ya kununulia cm ili uendelee kukashifu watanganyika humu umepewa ofa baada ya kuandka kashfa nyng sn kwa waliouwawa mo29 uko promoted na A17 pambana kukashfu marehemu waliouwawa kwny maandamano wakupe hata samsung used note 20 maana ndo ajira yako iyo kaza sasa, mmepewa kaofsi hapo lumumba kila mtu ana akaunti fake za kutosha jf, insta, x, fb. Hivi na nyie mnatumia vpn kuingia jf na x? Si mabwana zenu wamezfungia sa tunashangaa tunawaona huku.