Samsung galaxy A20

Samsung galaxy A20

Nmechikua A30 ram 4 rom 64 kwa kwel sijutii iko poa sana fasta, smooth super amoled kwa 450k kariakoo betr 4000mah.
20190916_192028.jpeg
20190916_192038.jpeg
 
Kwa bado uko na warrant y 1 month nenda kwa wakala wao hilo tatizo litapata ufumbuzi.
Usijaribu mafundi wa mtaani utalia.
Nawaza hapa wako wapi wale wazee wa Samsung wamejificha maaa brand hii hainaga shida.
Ukiisema vibaya tu hizo kejeli utajutaa
 
mkuu shida ya brand hii ni ipi...?
 
Bora unisaidie kiongozi maana kuna watu humu hata hawaeleweki
Sorry mkuu very sorry kama umenunua dukani warudishie ina warranty miaka 2.Kwa uchunguzi wangu hizi simu ni imara na zina technology ya kisasa nisingetegemea kuona inapatwa na shida kama hiyo. Pia hata zikitoka copy ni rahisi kujua hazita kuwa na ubora huu wa original.
 
Back
Top Bottom