Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
Hili tatizo limekuwa likijitokeza kila siku
Wakuu msaada shida yaweza kuwa nn
Iyo charger ni OG? yani ndio iliokuja na simu?
Hapo naona kama chaja ndo kimeo
Hapo utakua uliingusha betry ikapata mtikisiko na zile waya sijui kitaalam zinaitwaje zikahama kidogo kwenye njia yake yaan waya zinazotoka kwenye betri kwenda sehemu nyingine ya simu ya kwangu ilikua inaniletea low temperature... (japo sio samsung) walivyo iseti na kuzirudisha vizuri ikakata kuleta hilo tatizo. Naongea haya sio mtaalamu wa simu na huwenda ttzo lako halijasababishwa na kuangukaHapana ni og
Kuna mda simu ilaleta msg kwamba simu imekuwa overheat wakati ukiishika simi ni baridi kabisa
Dah aiseeSamsung g A20 haiko hivo hiyo ni tecno yenye housing ya A20 umeliwa
KabisaaDah aisee
Samsung g A20 haiko hivo hiyo ni tecno yenye housing ya A20 umeliwa
system charge [emoji409] au [emoji367]batterryHapana ni og
Kuna mda simu ilaleta msg kwamba simu imekuwa overheat wakati ukiishika simi ni baridi kabisa
Hapo utakua uliingusha betry ikapata mtikisiko na zile waya sijui kitaalam zinaitwaje zikahama kidogo kwenye njia yake yaan waya zinazotoka kwenye betri kwenda sehemu nyingine ya simu ya kwangu ilikua inaniletea low temperature... (japo sio samsung) walivyo iseti na kuzirudisha vizuri ikakata kuleta hilo tatizo. Naongea haya sio mtaalamu wa simu na huwenda ttzo lako halijasababishwa na kuanguka
Samsung g A20 haiko hivo hiyo ni tecno yenye housing ya A20 umeliwa
umejaribu kuchajia kwa chaji nyingine..?View attachment 1209049
Hili tatizo limekuwa likijitokeza kila siku
Wakuu msaada shida yaweza kuwa nn
umejaribu kuchajia kwa chaji nyingine..?
Mbona haifanani na original a20View attachment 1209049
Hili tatizo limekuwa likijitokeza kila siku
Wakuu msaada shida yaweza kuwa nn