Samsung Galax A6 inabadilisha size ya picha yenyewe.

Bst1

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
324
164
Nina changamoto kidogo, Camera ya Sumsung Galax A6 inabadilisha size ya picha yenyewe. Mfano naweza seti Megapixel 16 baada ya muda nakuta iko Megapixel 10. Hili linatatuliwaje?. Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafuta cache/data mwenyewe au kuna app inafanya hicho kitu na kusababisha setting za camera kureset.

Mfano unaweza kwenda setting kwenye device maintanance au kifananiacho sehemu ambayo inaclear ram na storage ukasafisha kila kitu, hii inaweza sababisha kupoteza setting zako.
 
Asante kwa msaada. Naweza nikawa nime clear kitu, nifanyaje kufanya irudi sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom