Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
- Thread starter
- #21
piga 0762612213Kamata 900k fasta
piga 0762612213Kamata 900k fasta
Specification zipi unataka wakati picha inajieleza au Ni mgeni Wa Tv ndugu yanguUnapouza kitu chochote cha electronic ni lazima specifications ziwekwe. Kwa nini unakwepa kuziweka? Zimekuwa bangi?
Huu ndiyo naita ubishi wa ndezi! Haya biashara njeama.Specification zipi unataka wakati picha inajieleza au Ni mgeni Wa Tv ndugu yangu
Mr Job hii Tv ina muda gani?piga 0762612213
bora uvute kitu ya kichina pale tcl mpyaa ina mpaka dijitali safi kabisaUmeambiwa ni stone age
Lakini unajua life span ya ulichotaja unaweza kuipiga masaa 24 Kwa Uhurubora uvute kitu ya kichina pale tcl mpyaa ina mpaka dijitali safi kabisa