Sent from My Iphone X using jamiiforum App, nimeinunua jana pale karume karbu na duka la mapajama
Sent from My Iphone X using jamiiforum App, nimeinunua jana pale karume karbu na duka la mapajama
Hata kariakoo Aggrey zipo,hujazitafuta tuMkuu iphone copy ipo na zipo sana, nenda posta ukauziwe
Ni nani muanzishaji wa Android software huyu ndie wa ku-deal naeKingine apple wana software zao binafsi na wana windows zao binafsi, tofauti na samsung ambao wanatumia software ya Android ambayo imetapakaa kila sehem na ndio maana ni rahisi mchina kucopy bidhaa zake
Ushawahi kuona wapi fake iphone ?
Zipo na nlishawah kuona, na ndani haikuwa androidmkuu iphone fake hakuna,ila kuna mfano wa makava(housing za iphone)ambayo ukiigusa tu ndani unakutana na android.
Mkuu cha kwanza kumbuka kuwa iphone ni kampuni kubwa ambayo inawalipa vizuri wafanyakazi wake kitu ambacho ni ngumu kwa software engineer wa Apple kutoa siri za kampuni au software kwa mchina na ndio maana bidhaa zake nyingi zimekuwa kisiki kweli kweli yaani utatengemeza umbo lakini kwenye software utakwama tu sababu ni siri
Not Windows Sema operating system bwanaKingine apple wana software zao binafsi na wana windows zao binafsi, tofauti na samsung ambao wanatumia software ya Android ambayo imetapakaa kila sehem na ndio maana ni rahisi mchina kucopy bidhaa zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Not Windows Sema operating system bwana
Ushawahi kuziona wapi
Yapo meengi tu ya kichina, hta kama ukitaka yapo mtu iPhone 7 mpyaa unauziwa laki 5.
Iphone fake zipo nyingi sana.
Ile interface ya android unayoijua wewe, inawezakuwa customized ikawa ni kama ya iphone (maranyingi inatumika cheap android).
Hata samsung fake zinatumia cheap android, haiwezikuwa clone body af os ikawa real.
Hahaha mzee baba usiwadanganye wasiojua bwana warekebisheWindow ya iphone, window ya android, window na windows phone...na window kibao [emoji23][emoji23][emoji23]
Iphone fake zipo nyingi sana.
Ile interface ya android unayoijua wewe, inawezakuwa customized ikawa ni kama ya iphone (maranyingi inatumika cheap android).
Hata samsung fake zinatumia cheap android, haiwezikuwa clone body af os ikawa real.