Samsung Copy zimejaa mjini lakini Iphone Copy sijawahi kuiona

Samsung Copy zimejaa mjini lakini Iphone Copy sijawahi kuiona

Watu wengi humu wameshindwa kumuelewa mleta mada..

Simu copy za samsung zinafanana sana na original

Lakini simu fake za iphone lazima ziwe tofauti yan utaijua tuu lakini wachina wameweza kuutoa simu ya samsung fake ambayo inafanana kila kitu na original

Huwezi kuta simu fake ya iphone inatumia ios
Lazima iwe android

Nakama umewahi kuuziwa iphone fake basi wew ni colo [emoji28]
 
Hio ni iPhone 7 ila ni copy uwezi kuijua km copy ina kila kitu unachokijua kijua wewe cha iPhone jamaa anatoka nazo China anauza laki 9 mpya na kila kitu chake ila copy azifanani na zile copy za agry pale kariakoo ila sio orgnal iphone
Screenshot_2018-09-14-18-48-31-1.jpg
 
Wanaume wa dar wamepumzishwa.saivi ni ligi za simu tuu..mara samusangi,mara tekino mara aifoni yani vuruguru tupu..
 
Watu wengi humu wameshindwa kumuelewa mleta mada..

Simu copy za samsung zinafanana sana na original

Lakini simu fake za iphone lazima ziwe tofauti yan utaijua tuu lakini wachina wameweza kuutoa simu ya samsung fake ambayo inafanana kila kitu na original

Huwezi kuta simu fake ya iphone inatumia ios
Lazima iwe android

Nakama umewahi kuuziwa iphone fake basi wew ni colo [emoji28]
Nilishawahi kusema hivi kuna jamaa akaniita limbukeni..nikamuuliza kuna iPhone fake zenye iOS?? akala kona yule kolo..
 
Mimi nimeshawahi kukutana na copy ya Iphone 7 plus black colour.
 
Kingine apple wana software zao binafsi na wana windows zao binafsi, tofauti na samsung ambao wanatumia software ya Android ambayo imetapakaa kila sehem na ndio maana ni rahisi mchina kucopy bidhaa zake
Ukitaja windows tuu, umeiihusisha Microsoft, mi nimekuelewa ila ungeishia kusema software zake tuu ingetosha kwasababu apple (iOS) na Windows ni vitu viwili tofauti.
 
Utofauti wa ufeki wenyewe ni hizo zina umbo la Iphone lakini OS ni android.
True.
Question: fake za android ( ama tuseme samsung fake) zinatumia os gani.

Logically, ikitengenezwa body ambayo ni clone itawekewa os ambayo ni clone pia. Sasa huwawezi nunua Real android wakaenda kuivalisha fake iphone body, ndio maana kuna neno linawekwa cheap android.

Naamini unafahamu simu za Hotwav.
Muonekano wake ni mithili ya iphone X kabisa (hotwav symbol s3).
Hili ni zao la fake iphone body + real android os(ambayo haijawa customized, muonekano wa os ni real android).
Sasa naamini jina lilichange b'coz of having real os ili kuifanya iwe ni brand tofauti na ila yenye muonekano kama iphone.

Ila kama body ikawa fake then ikaitwa iphone hapo haiweziwekwa real android na Os itakua customized iwe na interface ya iphone.
 
I PHONE FAKE ZIPO NYINGI SANA TANZANIA HATA DUBAI WANAUZA FAKE UKITAKA KUZIJUA GOOGLE ANDIKA IPHONE FAKE WATAKUONYESHA FAKE NA ORG TOFAUTI ZAKE. PIA BEI IPHONE MPYA 6 S PLUS GB 32 DOLLA 1000$ GB KUBWA BEI INAZIDI. UKIULIZA TANZANIA BEI HIYO HIYO NILAKI 8 UJUE FAKE
Hapa umechanganya mambo kidogo, tofautisha kati ya fake na used au refurbished. Hakuna iPhone fake ambayo inatumia ios. Huwezi kuwa na fake iPhone halafu ukawa na apple ID na ukapata access ya iTunes na app store.

Wahanga wa hizi fake ni simu zinazotumia android.
 
Nyie wataalam wa jf siku hizi mbona mnakuwa na uchambuzi uchwara namna hiyo!!??

Yaani wewe kwa akili za kawaida unadhani samsung fake ina kila kitu kama genuine au!!!sasa ufake wake utakuwa ni nini!!???

Apple copy zipo mzee tembea uone UI amaizing ya ios 11,icloud huwezi access sababu hiyo simu haitakuwa na identity kule kwenye server,tena 7+ ndio kibao,juzi hapa nimechukua iphone 6+,katika harakati za kutafuta nikakutana na iphone 7+ plus ya 650,nikasimama niione kwanza.hapo ndio nilibwaga manyanga kwamba mchina sio mtu salama.

Tizama picha ya mdau hapo juu post no 42,achana na ufake huo unaouwaza wewe,tunaangalia simu inaomekanaje.mpaka tunda la silver.
 
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni Samsung amekuwa akipata changamoto nyingi sana kutoka kwa mchina kutokana na sim zake nyingi kutolewa copy ambazo hazina ubora na kuingizwa sokoni kitu ambacho kimekuwa kikiwapa hasara na kupunguza uaminifu wa bidhaa zao.

Kwa miaka mingi kumekuwa na sim fake za Samsung madukani ambazo kama hautokuwa makini unaweza jikuta unauziwa sim fake ukajua no origional maana zinafanana sana

Lakini tukija katika brands za Iphone, sijawahi kutana na sim ya Iphone ambayo ni fake, wala sijawahi kusikia mtu akilalamika kuwa kauziwa Iphone copy, yaani fake iphone, nimejiuliza sana kuwa mchina kashindwa kucopy au anamuogopa mmarekani ? [emoji519][emoji519]
Nenda Samora Avenue,inaonekana wewe sio wa mjini labda ni wa mjini Moshi au Kaitaba
 
Back
Top Bottom