Ninatumia samsung A 7 ya mwaka 2017, na ninaiona iko vizuri kuliko hizi A series nyingine zinazotoka miaka hii hadi zimefika A51, je kuna tofauti gani ya kitaalamu kati ya hii A7 yangu ya 2017 na hizi A series mpyampya zinatoka mfululizo.
Ndugu nakushauri usitoke kwenye A Series.Nilinunua A30 miaka kadhaa sasa nadunda nayo iko makini haijawahi kunisumbua hata kidogo na display yake + muonekano ni nzuri sana.