Samsung 6+ haileti majina kwenye sms

Samsung 6+ haileti majina kwenye sms

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,567
Reaction score
8,327
Wakuu, simu tajwa hapo juu inatatizo la kutoleta majina pindi nitumiwapo sms, yaani majina nimesave lakin mtu akinitumia sms jina haliji inakuja namba tu.

Msaada kwenye tuta wakuu.
 
Jaribu kuiloweka kwenye maji yenye chumvi kwa dakika 7 na sekunde 6 kisha iopoe,itikise mara 3 kisha iache juani kwa masaa mawili baada ya hapo sasa jaribu kuanza kuita jina moja baada ya lingine namaanisha ya kwenye contacts.Ahsante
 
Ndo bangi zako zilivyokutuma?!!
 
Kama mtu uwezi au ujui kumsaidia mtu ni bora apige kimya asee.
Mnafanya jf ionekane ni kichaka cha vilaza.
 
hakikisha displayed contact name ndio source ya contact zak, kama zipo kwenye handset, gmail au simcard ndiwe iwe default contact list
 
Nenda Setting then apps tafuta sms then nenda permissions halafu allow sms to access contacts boss
 
Back
Top Bottom