Mkwanga Senior Member Joined Dec 6, 2010 Posts 146 Reaction score 20 Jun 30, 2014 #1 Jamani naomba msaada simu yangu nikichomeka usb kwenda kwenye computer haisomi kitu shida ni nini?
Lotusflowerxx JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 284 Reaction score 44 Jun 30, 2014 #2 labda kaka huna usbdriver za Samsung ktk sim yako
Mkwanga Senior Member Joined Dec 6, 2010 Posts 146 Reaction score 20 Jun 30, 2014 Thread starter #3 Kaka inawezekana ukatumia usb cable isiyo ya samsung ikawa inacharge ila haisomi kwenye pc au laptop
east36 JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 1,352 Reaction score 610 Jun 30, 2014 #4 Mkwanga said: Kaka inawezekana ukatumia usb cable isiyo ya samsung ikawa inacharge ila haisomi kwenye pc au laptop Click to expand... inawezekana..
Mkwanga said: Kaka inawezekana ukatumia usb cable isiyo ya samsung ikawa inacharge ila haisomi kwenye pc au laptop Click to expand... inawezekana..
Mkwanga Senior Member Joined Dec 6, 2010 Posts 146 Reaction score 20 Jun 30, 2014 Thread starter #5 Ok ngoja nitafute original yake nione