sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Ukweli ni huo kwamba Pinda ni waziri mkuu mdhaifu kuliko wote waliowahi kutokea hapa Tanzania.. na hizo kauli zake za "mimi nafikiri…, mimi nadhani…, tufike mahali…, ngoja tujaribu kuona…, mimi ningedhani…"ni kauli za kuudhalilisha uwaziri mkuu.. Hana clout.. hana maamuzi.. anakurupuka sana kwenye maamuzi (rejea sakata la Jairo wa wizara ya nishati) ambayo baadae yanamrudia mwenyewe..