technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,634
- 58,270
Amemteka polepoleSamia yupo wapi na yu Hali gani?
Kampeni zimesitishwa?
Hakuna uchaguzi mwaka huu
Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo
Tuendelee kuwepo!!
Hata akijiteka hakuna uchaguzi mwaka huu!!Amemteka polepole
Hahahaha mtapona kichaa mwaka huu shwaini!!Samia yupo wapi na yu Hali gani?
Kampeni zimesitishwa?
Hakuna uchaguzi mwaka huu
Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo
Tuendelee kuwepo!!
Sasa si ndio umsaidie kujibu kwa kuweka iyo ratiba?Àcha kuaminisha umma matango pori, tafuta ratiba ya kampeni uone leo Kuna tukio gani!?
Jana Kampeni zilifanyika?Àcha kuaminisha umma matango pori, tafuta ratiba ya kampeni uone leo Kuna tukio gani!?
leo ratiba inaonyesha ilikuwa ni kampeni mapumziko ni tarehe nane dodomaÀcha kuaminisha umma matango pori, tafuta ratiba ya kampeni uone leo Kuna tukio gani!?
Hata jana ilikua ni ratiba ya Kampeni Babati. Kimyaaaaleo ratiba inaonyesha ilikuwa ni kampeni mapumziko ni tarehe nane dodoma
Hujawahi kuhairisha jambo ambalo umelipanga kutokana sababu fulani?leo ratiba inaonyesha ilikuwa ni kampeni mapumziko ni tarehe nane dodoma
Kesho atakuwa Mwanza kama unataka kumwona utamwona kesho Mwanza.Samia yupo wapi na yu Hali gani?
Kampeni zimesitishwa?
Hakuna uchaguzi mwaka huu
Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo
Tuendelee kuwepo!!
duu nyie wapumbavu mno babat kamaliza juzi alimaliza kanda ya kaskaziniHata jana ilikua ni ratiba ya Kampeni Babati. Kimyaaaa
Na yeye ni binadamu tena over 60 na morbidly obese. Kitatokea tu. Ni suala la muda tu kwetu wanadamu...Hujawahi kuhairisha jambo ambalo umelipanga kutokana sababu fulani?
Nyie waja nnataka kusikia nini? Hicho mnachotaka kitokee hakitatokea
Kuhairisha? 😳😳😳Hujawahi kuhairisha jambo ambalo umelipanga kutokana sababu fulani?
Nyie waja nnataka kusikia nini? Hicho mnachotaka kitokee hakitatokea
Endelea kutiana ujingaNa yeye ni binadamu tena over 60 na morbidly obese. Kitatokea tu. Ni suala la muda tu kwetu wanadamu...
View attachment 3484462