Mmekaririshwa vibaya sanahivi kwanini wafuasi wa chadema wanachojua ni matusi tu, je ni malezi? madawa au ni nini hasa??
huo ndiyo ukweli, we angalia majibu yao tu hapo juuMmekaririshwa vibaya sana
Mbunge wa uko ameshasema bungeni kuwa mama samia hadaiwi chochote
hivi kwanini wafuasi wa chadema wanachojua ni matusi tu, je ni malezi? madawa au ni nini hasa??
una ushahidi?Ni afadhali ya hao wanaotoa maneno kjliko mashetani yaliyopo CCM ambayo hayajui chochote zaidi ya kuteka, kutesa na kuwaua wanaowakosoa.
Mbunge wa uko ameshasema bungeni kuwa mama samia hadaiwi chochote
Tukuoneshe matusi mangapi yanayotokana na ccm na viongozi wake?hivi kwanini wafuasi wa chadema wanachojua ni matusi tu, je ni malezi? madawa au ni nini hasa??
Waliofanikiwa kurudi baada ya kitaka kuuawa wapo.una ushahidi?
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
Kwanini hawaendi mahakamani?Waliofanikiwa kurudi baada ya kitaka kuuawa wapo.
Yupo Lissu
Yupo Sativa.
Ushahidi wa wazi kabisa.
Mauaji, na ninyi mtakufa vibayaaaaaaaa
Tena sanaaaInasikitisha sana
hivi kwanini wafuasi wa chadema wanachojua ni matusi tu, je ni malezi? madawa au ni nini hasa??
Sio wamasai hao ni wa-arusha hao
Mahakama gani?Kwanini hawaendi mahakamani?