stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,866
- 14,613
na wasipoangalia hata wengine watawafuataSamia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote?
Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo yote. Ulipokaribia uchaguzi ukamweka Lissu ndani bila kosa kwa kuogopa ushindani. Siku ya uchaguzi ukadanganya umeshinda kwa asilimia 98 wakati kura hazikupigwa.
Vijana wa kitanganyika walipotoka kudai haki ukaagiza wauawe wengi kadiri iwezakavyo ili watu watishike. Halafu leo unasema maridhiano... karidhiane na ibilisi ndiyo aina yako! Hatukutaki muuaji wewe!