Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,570
- 55,690
Tahrir squareNi vigumu kwa mapinduzi ya kiraia kukamilika ndani ya siku tatu. In recent history, successful popular uprisings elsewhere (Egypt, Nepal, Madagascar, etc) zimedumu kwa takribani wiki moja au zaidi.
Mungu yupi?Tunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...
Wote hawapatikani,mtu hujui wako vipiInashangaza sn kwa kwl.
Hivi internet inahusika vp na usalama wa inchi?
Sisi tulio nje ya inchi inatupa msongo wa mawazo sn.
Sijuwi family yng inaishije na ipo kwenye hali gn?
Mambo ya kishamba sn wanaleta hawa jamaa..
primary concern ni usalam wa nchi, haikuwa uchaguzi wala kuapishwa, wale wanahamasisha maandamano na fujo wantumia internet kama njia ya mawasiliano Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya nje.HOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
Ndy mkuu,,Sasa kama wamezuia watsap calls hata ukiwa nje ukipiga directly simu haziendi,Wote hawapatikani,mtu hujui wako vipi
Jaribu kutumia app ya talk 360 , au yolla wana creat automatic virtual sim card so Simu zinapita kama kawaa...na message unatuma vizuri tu , sema lazima uweke pesa kidogoNdy mkuu,,Sasa kama wamezuia watsap calls hata ukiwa nje ukipiga directly simu haziendi,
Unawapataje ndg na jamaa ?
Tatizo nipo melini mkuu,,Jaribu kutumia app ya talk 360 , au yolla wana creat automatic virtual sim card so Simu zinapita kama kawaa...na message unatuma vizuri tu , sema lazima uweke pesa kidogo
GT bado upo Uswiz unakula mema?Inashangaza sn kwa kwl.
Hivi internet inahusika vp na usalama wa inchi?
Sisi tulio nje ya inchi inatupa msongo wa mawazo sn.
Sijuwi family yng inaishije na ipo kwenye hali gn?
Mambo ya kishamba sn wanaleta hawa jamaa..
Nimetoka mkuu now nipo GulfGT bado upo Uswiz unakula mema?
Hahaha ila ukitaka kurudi Uswiz unaingia bila Visa.Nimetoka mkuu now nipo Gulf
Pole sana kamanda!!Shi
Tatizo nipo melini mkuu,,
Sina nafasi ya kuweka pesa kwa simu.
Hata application za kibank pia zinazinguwa.
Dogo the Icebreaker inakuwaje mtu wangu wa nguvu? Najua unanichukia sana humu jamvin ila ujue mimi bado ni kaka yako kumbuka hilo. Huna budi kiniheshimu na kunitii bila shurti.Aisee.