GE2025 Samia: Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo

GE2025 Samia: Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Akizungumza leo Jumanne, Oktoba 7, 2025, katika Wilaya ya Sengerema, jijini Mwanza, Dkt. Samia amesema: “Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo, vurugu au zogo. Tutaheshimisha nchi yetu tukizingatia sheria zetu, tukitafuta haki na kila mtu akapata haki yake.”

 
Back
Top Bottom