tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Katika Kipindi cha miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan imetajwa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kudumisha amani, demokrasia na utawala bora nchini kwa kuimarisha na kukuza uhuru wa vyombo vya habari pamoja na kuimarisha uhuru wa asasi za kiraia, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa uendelezaji wa misingi muhimu ya maendeleo ya Taifa la Tanzania.
Soma pia: Abdulkareem Atiki: Mama Samia ni muumini mkubwa wa demokrasia
Kulingana na Samia, ushiriki wa wananchi katika shughuli mbalimbali umeendelea kuimarika, huku pia wadau wa demokrasia wakiendelea kunufaika na haki zao za kidemokrasia ikiwemo uhuru wa kutoa maoni na kujumuika, huku Falsafa yake ya 4R ikitajwa kutoa msukumo wa kipekee katika kuimarisha upatikanaji wa haki za kidemokrasia na kijamii nchini ikiwemo kuimarika kwa uhuru wa vyama vya siasa katika kutumia haki yao ya kufanya maandamano na mikutano ya hadhara bila vikwazo kwa mujibu wa sheria za Tanzania.