Samuya ni drone tu saizi yake!F-16 ni ndege kubwa sana kivita.
Kwa vikambi hivi vya JW anawatumia tu ndege ndogo sana A-10 Warthogs
Samuya ni drone tu saizi yake!F-16 ni ndege kubwa sana kivita.
Kwa vikambi hivi vya JW anawatumia tu ndege ndogo sana A-10 Warthogs
CIA unawajua ?? Wana info za kila kitu wanavhokitaka kuwa nao...kuna planners wa vita......strategist ndio kazi yao....ikulu zote muhimu wanazo ramani zake...kumbuka wana satelite feed kila siku wanajua kila nyumba ina watu wangapi kila siku wana record yao....wanajua hata kiz analala wapi .....ana hidevout sites ngapi....
Mmmmm Ellon ndio kitu gani tangu 1960 huko wana satelite zao juu dunia nzima....mossad wana zao US wana zao....Ellon mtoto sana kwenye mifumo ya ulinzi wa US....Ellon anapewa vibali kurusha satelite za communication na US....ambao ndio wana zijenga hizo sat....Ellon hawezi kuingia hata 1% mifumo ulinzi.....acha kabisaa....Aiseeee ila watakuwa wanasaidiwa na MOSSAD na Ellon Musk, tumkubalie tu Ellon Musk aweke satellites dish zake kwenye anga Letu hazina madhara satellites zake
Madulo ndiyo nani dunia hii? Kuandika huwezi je ndiyo utakuwa na uwezo hata wa kutoa ushauri?Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.
Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa mkono Madulona China na Russia akajiona amefika.
Leo marekani Kwa kutumia kikosi hatari Cha Delta Force wamemdaka Madulo kama panya. Yaani within 3 hrs inapigwa operation na head of state anadakwa.
Samia chunga mdomo wako,Nchemba chunga mdomo wako, hao kina Mafwele, Wambura na Mkunda ikitumwa chapa F-16 wanakuwa majivu.
Jifunze Kwa Kagame, na sio kujiona unaweza ku battle na US na EU.
Mto wa mbu
Walitumia 15-40min according to VenezuelaDah! Jamaa wapo mbele sana kivita!, sikudhani kama maduro angedakwa mapema vile.
Usimstue mwache azidi kupanua domo lake kama chewa waje wamfanyie kitu mbaya.Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.
Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa mkono na China na Russia akajiona amefika.
Leo marekani Kwa kutumia kikosi hatari Cha Delta Force wamemdaka Madulo kama panya. Yaani within 3 hrs inapigwa operation na head of state anadakwa.
Samia chunga mdomo wako,Nchemba chunga mdomo wako, hao kina Mafwele, Wambura na Mkunda ikitumwa chapa F-16 wanakuwa majivu.
Jifunze Kwa Kagame, na sio kujiona unaweza ku battle na US na EU.
Mto wa mbu
Kwa ayatollah kachemka mwaka wa ngapi huu.......anaonea vidagaa tuCIA unawajua ?? Wana info za kila kitu wanavhokitaka kuwa nao...kuna planners wa vita......strategist ndio kazi yao....ikulu zote muhimu wanazo ramani zake...kumbuka wana satelite feed kila siku wanajua kila nyumba ina watu wangapi kila siku wana record yao....wanajua hata kiz analala wapi .....ana hidevout sites ngapi....
Haiwezi fika huku labda kama waweke base hapo MombasaF-16 ni ndege kubwa sana kivita.
Kwa vikambi hivi vya JW anawatumia tu ndege ndogo sana A-10 Warthogs
hahahaha eti mishikaki ya chatuJamaa ni hatari sana aisee, unaropoka wanakuangalia kama hawakuoni vile, kumbe wanasuka mipango under ground ,wakikamilisha tu wanakufata mpaka chumbani na hakuna wa kukusaidia Mchina atabaki anakutazama kwenye bbc tu na kulaani vikali akiwa nyumbani kwake anakula mishikaki ya chatu
Hizo kazi zinafanywa na CIA kwa mda ,delta wamepewa ramani tu na kuchapa kaziHivi Delta Force walijuaje mazingira na ramani halisi ya mapigano???
Hujui USA ana Military base hapo Djibout?Haiwezi fika huku labda kama waweke base hapo Mombasa
Uhusiano wa Venezuela na USA tofauti kabisa na Tanzania na USA, huko Mmarekani anafuata mafuta, Tanzania yamegundulika madini sio mafuta.Samia analingia eti mafwele.Marekani akiamua huyo mafwele na Samia watadakwa kama mwewe anavyodaka kifaranga Cha kuku.
Waulize wale magaidi wa MKIRU mwaka 2017, waulize wale washenzi wa Msumbiji waliouliwa mwaka juzi.Jeshi letu lina uwezo wa kudhibiti raia wake tu
Ila wakikutana na wajeda wenzao wanajikojolea
Kiufupi hatuna jeshi yamejazana mapimbi ya ccm!
Kuna clip niliona Magorila manne yanapiga kwenye cage, ngumi zimeumana vumbi tu.Sipati picha Chopa la Trump linatua pale Chamwino au Magogoni linaondoka na mtu wao, nadhani JW na TISS itabidi waimarishe ulinzi wa kutosha hususani wa Chopa za JW kuzunguka masaa 24 katika viunga vya Ikulu
Marekani wapo mbele ya muda.Hivi Delta Force walijuaje mazingira na ramani halisi ya mapigano???
Na ndio maana wananchi wa ukraine wako pamoja naye.Maduro dikteta, lolote baya limkute, Zelensky alichaguliwa kwa kura katika uchaguzi huru na haki.
Mmeshaanza kuikatisha kona 'Who are you'!Uhusiano wa Venezuela na USA tofauti kabisa na Tanzania na USA, huko Mmarekani anafuata mafuta, Tanzania yamegundulika madini sio mafuta.
Who are you waliambiwa wale mashoga wa EU hakuambiwa Mmarekani.
Hali si hali. Wameona mwaka huu 2026 USA hacheki na wowote. Anakupelekea moto tu.Mmeshaanza kuikatisha kona 'Who are you'!
🤡🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu umefikiria nini kusema hivi ,ujue nimecheka sana Kama kichaa sasa hivi 😆😆😆mpaka na onekana chizi .....Anyway umenipunguzia stress Sana Leo maana siku nzima sijacheka ,wewe na mwenzako wa mishikaki ya chatu 😂😂😂😂😂😂😂,Ila samia ni kilaza sana yaani kawaamini wala popo na chatu Kabisa na kuanza kuleta dharau kwa danga sponsor anayetoa mapene ya kuendesha familia Kila siku.Kama namuona mchina akiangalia habari BBC huku anabugia popo.