figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,010
- 64,048
Haha we mzee kunywa panadol upunguze stress 🤣Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Titaka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
Hiyo ndiyo miandiko iliyonyooka.Siyo wale wanaoandika shaghalabaghala kama kona za Lukumbulu.Umeandika Kikakamavu sana
Nani atamsikiliza?Kuwa mpole mkuu.Anataka akupeni pole mubashar huku anafuta miwani yake kwa madaha.😛😛😛😛
Muda wa "Afukoni"!Nani atamsikiliza?
AnajiuzuluSamia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Titaka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
Huyo chinjachinja hana hit songs. Awaimbie chawa wake!Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Titaka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
WHO ARE YOU?Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Titaka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
Nimeshika "dikishenare" natafuta hao idiots niwajue kwa uzuri mkuu.If idiots could fly, the sky would be like an airport...🤣
Hakuna, hakuna hakunaSamia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Titaka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
Nje ya madaSamia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Titaka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
*Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje? *
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Titaka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
Haha we mzee kunywa panadol upunguze stress 🤣
Pole sana! Kifo ni haki yetu sote tunaoishi. Tofauti ni unakufaje tu!! Allah awarehemu wote.Awamu ya sita sitaisahau hadi nakufa. Imeondoka na roho za marafiki zangu watano eti waliandamani. Wangepekekwa mahakani hukumu si kunyongwa bali faini tu au kifungo cha miezi 6. Lakini yeyee kaelekeza wauliwe. Wazanzibar wana roho mbaya.
Umechanganyikiwa. Mimi sijalaumu kifo. Nimelaumu watu kutuua kwa kutumia vyeo vyaoPole sana! Kifo ni haki yetu sote tunaoishi. Tofauti ni unakufaje tu!! Allah awarehemu wote.
Ule unyama haukubaliki...Awamu ya sita sitaisahau hadi nakufa. Imeondoka na roho za marafiki zangu watano eti waliandamani. Wangepekekwa mahakani hukumu si kunyongwa bali faini tu au kifungo cha miezi 6. Lakini yeyee kaelekeza wauliwe. Wazanzibar wana roho mbaya.