GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,837
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.

Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa CCM ni zaidi ya katiba ya CCM yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Kwani nini kimetokea? Kuna dalili nyingine tofauti na maazimio zimeonekana? Kama hakuna, why umeanzisha uzi huu?
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Wekeni reforms mezani then hata mkipitisha wanne wote wangombee kwa kumsaport mmoja kutoka CCM, sisi tunaweka mmoja na hata tusipopiga kampeni mapema sana, tumemaliza kazi
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Jua lile literemke mamaa.X2
Aiyaiyaa iyaa mamaa..X2
 
Mbona kama umechanganyikiwa?
 
Mnapambania huyo chura kiziwi, fujaji na dhaifu aendelee ili nanyi muendelee kuibà rasilimali za Tanganyika....Haikubaliki.
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Eleza repayment plan ya 157 trillion sabbu mmekopa bila plan hatimaye hata uwekezaji umekuwa hafifu,barabara zina mashimo na mengine mengi.
 
Samia ameajiri machawa wa kumpambania mitandaoni wakati huku mitaani hakubaliki.. angefanya km Magu kuwapambania wananchi wa kawaida angependwa, ameongeza maadui kuanzia Makamba, Ummy, Polepole, Gwajima, anatoboaje ?
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mkuu kwani kuna mabadiriko? Mbona alishapitishwa sasa nguvu zote za nini?

Tusubirie october ifike tu.
 
Agombee, asigombee haituhusu, ila tunataka uchaguzi huru wa haki na wenye kuaminika.

Usingependa tukubaliane kwenye hilo?
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Ukute nawe unaitwa Baba, zilaaniwe Shahawa chafu za baba yako zilizokuzaa
 
Mimi nampenda Mama Ila kuna sauti imeniambia mama hatokuwa Rais wa Tanzania
Siku hizi mtu asipokua mpiga ramli,mtabiri,ameoteshwa na Bwana,ameambiwa na sauti,basi mtu huyo ataonekana kama vile amechelewa sana,

Naona tunaishi kwenye Dunia ambayo kila mtu ni mtabiri na kila mtu ana miujiza ya kujua mambo yatakayo tokea mbeleni.

😀😀
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Shikilia hapohapo ili moto uzidi kuwaka vizuri huko ndani.
 
Back
Top Bottom