Samia: Si kila mtu anatamani kutuona katika hali ya Amani, umoja na utulivu katika Nchi yetu, Tuzidishe mshikamano na upendo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,230
Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu na Upendo. Akisisitiza wananchi wote kuendelea kuwa na mshikamano na upendo.

Hii nyang'au inazungumzia amani ipi?

Amani ya kupiga watoto na wajawazito risasi majumbani?
 
Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu na Upendo. Akisisitiza wananchi wote kuendelea kuwa na mshikamano na upendo.

View attachment 3561125
Asante sana ndugu rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa rai yako njema kwa waTanzania wote. :KasugaYeah:

Tuilinde amani yetu kwa wivu mkubwa ndugu zangu waTanzania.
 
Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu na Upendo. Akisisitiza wananchi wote kuendelea kuwa na mshikamano na upendo.

View attachment 3561125
10,000 casualties halafu eti mshikamano. Labda mshikamano wa cartel ya msoga
 
Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu na Upendo. Akisisitiza wananchi wote kuendelea kuwa na mshikamano na upendo.

View attachment 3561125
Mshikamano pekee wanaotakiwa kuwa nao waTanzania ni kuondoa wahalifu kwenye madaraka waliyojitwalia kwa mabavu kwa kumwaga damu ya waTanzania

Hakuna mtu mwenye upendo na nchi hii anayeweza kufanya unyama alioufanya huyu mwanamke muigizaji mwovu kabisa.
 
Back
Top Bottom