PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu alipowasili Ikulu ya Chamwino, Dodoma mara baada ya kuapishwa.
Wewe utakufa vizuri eti eeeh. Kwamba hautaoza ?Atakufa kifo kibaya sana huyo shetani wenu.
Umeona ninanuka damu za watu hapa nilipo kama ilivyo kwenu nyinyi mashetani?Wewe utakufa vizuri eti eeeh. Kwamba hautaoza ?
Hapo hata akiwaambia watembee kwa magoti hawawezi kukataa.wanaume kibao wanapokea amri ya mwanamke.dah
Won't last 4everRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu alipowasili Ikulu ya Chamwino, Dodoma mara baada ya kuapishwa.
Tatizo mnaacha kiini ...kwani aliyeanzisha ni nani? Waliokufa wasingeenda kuchoma miundombinu na kustorm Mali za watu Leo wangekuwa hai kama wewe hapo ( maana najua hukuthubutu kuandamana live tofauti na kuandamana kwenye keyboard )Umeona ninanuka damu za watu hapa nilipo kama ilivyo kwenu nyinyi mashetani?
aibu hio.marekani wenyewe wakuu wa haki na usawa lakini wamekataa kuongozwa na mwanamkeHapo hata akiwaambia watembee kwa magoti hawawezi kukataa.
Roho gani kaziondoa?..mkapa aliondoa roho ngapi mwembechai na pemba?..magu aliondoa roho ngapi?..walikufa vibaya?Atakuja kufa kifo kibaya sana huyo shetani wenu. Roho zote alizoziondoa hapa duniani kwa uonevu na ukatili mkubwa, zitakuwa zinamlilia tu kwenye kila kona wa kaburi lake.
yani wewe unaroho mbaya sijapata kuona.kwanini unashabikia mauaji?Roho gani kaziondoa?..mkapa aliondoa roho ngapi mwembechai na pemba?..magu aliondoa roho ngapi?..walikufa vibaya?
Unauliza eti ...kwani aliyeanzisha ni nani? Wakati mnakandamiza haki za raia, mlitegemea wataendelea kuwaogopa na kuwachekea tu miaka yote siyo?Tatizo mnaacha kiini ...kwani aliyeanzisha ni nani? Waliokufa wasingeenda kuchoma miundombinu na kustorm Mali za watu Leo wangekuwa hai kama wewe hapo ( maana najua hukuthubutu kuandamana live tofauti na kuandamana kwenye keyboard )
Polisi zaidi ya 12 wameuawa, halafu kwa nini mlikua mnafanya uharibifu?..uharibifu siyo dhambiyani wewe unaroho mbaya sijapata kuona.kwanini unashabikia mauaji?
unajua dhambi ya kuuwa nafasi Moja tu mbele ya mungu wewe?
Unajua maisha ya wanaokandamizwa Hali zao wewe? Tuliowahi kwenda nchi zenye ukandamizwaji mkubwa WA haki. Tunasema Tanzania tunaishi Kwa Amani mno! Au ulitaka serikali ije ikuletee ridhiki nyumbani kwako?Unauliza eti ...kwani aliyeanzisha ni nani? Wakati mnakandamiza haki za raia, mlitegemea wataendelea kuwaogopa na kuwachekea tu miaka yote siyo?
mbona hatujaona hao polisi walio uwawa?Polisi zaidi ya 12 wameuawa, halafu kwa nini mlikua mnafanya uharibifu?..uharibifu siyo dhambi
Waliopigwa risasi majumbani mwao, na wale vijana waliokuwa wanaangalia mechi ya Arsenal kibanda cha mpira na kupigwa risasi je walichoma miundo mbinu ipi?Tatizo mnaacha kiini ...kwani aliyeanzisha ni nani? Waliokufa wasingeenda kuchoma miundombinu na kustorm Mali za watu Leo wangekuwa hai kama wewe hapo ( maana najua hukuthubutu kuandamana live tofauti na kuandamana kwenye keyboard )