Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,550
Reaction score
20,342
GT

Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu.

Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia akina Mwigulu na Nanauka walianza kama janja janja tu ila picha halisi tumeiona .

Samia kajiandaa kuua ili abaki madarakani kwa gharama yoyote ile na hajali na hatishiwi maana vyombo vya ulinzi.na vya maamuzi kama mahakama na bunge vyote kavitia mfukoni mwake.

Kujua unyama wa Samia rejea kauli hizi.

1. Kifo cha kibao na wengine alisema ni drama akaenda mbali zaidi na kusema kifo ni kifo tu moyo wake umejaa kutu huyu dikteta

2.Kipindi chote mauaji na utesaji vinaendelea hakuwahi kutoka na kukemea lolote tofauti na mtangulizi wake.

3. Askofu Gwajima alitoka kukemea utesaji na uuaji akanyimwa ubunge na kanisa lake likafungwa wtf. Means mauaji yaendelee watu wakae kimya?

4.Watu wote waliopinga mauaji kama akina Polepole na kitima wametendewa vibaya sana.

5. Kilio kikubwa cha TEC awamu hii pamoja na mambo mengine ni uuaji na utekaji lakini mmeona majibu yake. Kwamba wasiipangie serikali nini cha kufanya..

6. Samia kipindi chote cha kampeni hakuwahi kutaja wala kukemea neno utekaji popote siku zote 60 akizunguka Tanzania. Akiitwa dikteta mama wala watu hawakosei.

7. Watu wameuawa October 29 lakini majibu yake ni kwamba hao walistahili adhabu hiyo na wala hajutii hayo mauaji maana wengine wameuawa majumbani kwao.

HITIMISHO

1. Nchi haina raisi hata wasaidizi wanamwogopa hawataki kumwambia ukweli na wengine wanamdanya.

2. GenZ na watanzania wote tujitetee wenyewe hakuna mtendaji wa serikali hii anyejari maisha na uhai wetu.

3. Hao wabunge na mawaziri wa kujiteua na watendaji wote wa serikali hii haramu tutuwawajibisha hukuhuku chini..

4.Tuwawajibishe wanufaika wa serikali hii haramu kama wasanii, wafanyabiashara wakubwa na vilabu vya mpira kwa kususia huduma zao.

5. Rasmi jsehi ni mateka wa serikali maisha yetu hayana maana kwao tupo hatarini kuliko wakati wowote ule.

6. Kwa sasa Tanzania kiusalama ni mbaya sana kwa wazalendo na wakosoaji wa serikali kama mtu uko nje ya Tanzania na kama una upenyo wa kutoka nchini kwa sasa fanya haraka sana.

7. Uchumi wetu unaenda kuporomoka mfuko wa bei nauona kiufupi maisha magumu na hapatakuwa na miradi.ya maana kwa sasabu serikali inatumia mda mwingi kugombana na watu.

8.Duniani kote kwa sasa hakuna raisi mwenye roho mbaya na mwenye kututumia malaka yake vibaya kama Samia anahitaji kutangazwa DIKTETA na mataifa

#Mungu ibariki Tanganyika#.
 
Imagine unakuwa na taasisi ambayo kiongozi wake duniani anabariki mashoga na kuunga mkono ndoa za jinsia Moja, eti hao ndo wakushauri kuhusu haki??
watu hata uongozi wa ndani ya familia tu hawajui kwani hawana hata wake na watoto.
 
Tatizo lako akili zako ziko makalioni huwezi kuelewa nilichoandika kaa kimya
 
GT

Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu.

Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia akina Mwigulu na Nanauka walianza kama janja janja tu ila picha halisi tumeiona .

Samia kajiandaa kuua ili abaki madarakani kwa gharama yoyote ile na hajali na hatishiwi maana vyombo vya ulinzi.na vya maamuzi kama mahakama na bunge vyote kavitia mfukoni mwake.

Kujua unyama wa Samia rejea kauli hizi.

1. Kifo cha kibao na wengine alisema ni drama akaenda mbali zaidi na kusema kifo ni kifo tu moyo wake umejaa kutu huyu dikteta

2.Kipindi chote mauaji na utesaji vinaendelea hakuwahi kutoka na kukemea lolote tofauti na mtangulizi wake.

3. Askofu Gwajima alitoka kukemea utesaji na uuaji akanyimwa ubunge na kanisa lake likafungwa wtf. Means mauaji yaendelee watu wakae kimya?

4.Watu wote waliopinga mauaji kama akina Polepole na kitima wametendewa vibaya sana.

5. Kilio kikubwa cha TEC awamu hii pamoja na mambo mengine ni uuaji na utekaji lakini mmeona majibu yake. Kwamba wasiipangie serikali nini cha kufanya..

6. Samia kipindi chote cha kampeni hakuwahi kutaja wala kukemea neno utekaji popote siku zote 60 akizunguka Tanzania. Akiitwa dikteta mama wala watu hawakosei.

7. Watu wameuawa October 29 lakini majibu yake ni kwamba hao walistahili adhabu hiyo na wala hajutii hayo mauaji maana wengine wameuawa majumbani kwao.

HITIMISHO

1. Nchi haina raisi hata wasaidizi wanamwogopa hawataki kumwambia ukweli na wengine wanamdanya.

2. GenZ na watanzania wote tujitetee wenyewe hakuna mtendaji wa serikali hii anyejari maisha na uhai wetu.

3. Hao wabunge na mawaziri wa kujiteua na watendaji wote wa serikali hii haramu tutuwawajibisha hukuhuku chini..

4.Tuwawajibishe wanufaika wa serikali hii haramu kama wasanii, wafanyabiashara wakubwa na vilabu vya mpira kwa kususia huduma zao.

5. Rasmi jsehi ni mateka wa serikali maisha yetu hayana maana kwao tupo hatarini kuliko wakati wowote ule.

6. Kwa sasa Tanzania kiusalama ni mbaya sana kwa wazalendo na wakosoaji wa serikali kama mtu uko nje ya Tanzania na kama una upenyo wa kutoka nchini kwa sasa fanya haraka sana.

7. Uchumi wetu unaenda kuporomoka mfuko wa bei nauona kiufupi maisha magumu na hapatakuwa na miradi.ya maana kwa sasabu serikali inatumia mda mwingi kugombana na watu.

8.Duniani kote kwa sasa hakuna raisi mwenye roho mbaya na mwenye kututumia malaka yake vibaya kama Samia anahitaji kutangazwa DIKTETA na mataifa

View attachment 3510772

#Mungu ibariki Tanganyika#.
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_082736_0000.png
 
Duniani kote serikali za kidikteta huwa zinajali maisha ya wanainchi wao, maana ndio watu pekee wanaotegemea kuwapa support dhidi ya adui wa nje.

Duniani kote hakuna dikteta ambaye amewahi kuwachukia wanainchi wake kiasi cha kuwaletea mamluki waje wawaue.

Hata madikteta maarufu walioacha alama katika dunia hii kama Hitler,Mussolin,Pinochet na Joseph Stalin hawakuwahi kuingia vitani na wanainchi wao.

Nafikiri hii serikali dhalimu na haramu ya Samia suluhu Hassan ndio serikali ya kwanza kabisa duniani kutangaza vita na kujiandaa na vita dhidi ya wanainchi wake inayowaongoza.... haya ni zaidi ya maajabu.
 
Maajabu kweli kweli they have turned against their own people
 
Acha kabisa, na ukiangalia yeye na genge lake la wazanzibari waliko kwenye nafasi za juu kabisa nyeti ndio wanalitengeneza hili, maana hawajali kabisa athari zake kwa sababu sio taifa lao.

Wamewateka na baadhi ya waislamu wenye uwezo duni wa kufikiri wawape support, hili hapo baadae yakitokea machafuko kama yale au zaidi, waidanganye dunia kuwa kulikuwepo na vita ya kidini na wala serikali haihusiki na mauji.

Hii serikali ya wazanzibar tulifanya kosa kubwa sana kuiruhusu kututawala.
 
Back
Top Bottom