Samia anatukumbusha msemo wa 'A real warrior never quit'

Do you think she's alone? anyway, jua kua Africa hakuna kiongozi anaye admit makosa na kuwa responsible sio yeye TU ni Africa nzima, justice system Iko mbovu na ndio kitu kinaniumiza kabisa pindi mahakama zinapovurugwa uwajibikaji na uongozi ni sufuri hamna kitu, Assume tungekuwa na mahakama ambayo kosa alilofanya ni kunyongwa na mahakama zetu Tena za ndani tukawa na majaji imara ambao wanajisimamia wenyewe bila political influence what would have happened? Simple asingetoa amri aliyotoa kwasababu angejua nini kinafuata.

Katiba kuweka mihimiri mi3 maana yake ilitaka uwajibikaji inapofikia situations kama hizo lakini Kwa muktdha huu hatuwezi kusonga mbele kila raisi atakua anakuja na blanda lake maisha yanaendelea assume bunge lingekua smart na kuwapa power wananchi waliolichagua ambao ni wengi nani angeuza bandari? Dhahabu,? Kununua ndege 11+? Gesi? Miradi yenye gharama ziszo halisi? Haya yote Kama una bunge na mahakama huru kiukweli hakuna mjinga mmoja angethubutu mfano china hakuna anaye tempa na mali ya umma kwasababu anajua kitanzi ni halali yake.
 
Mama Samia ni mfano wa kuigwa duniani kote!
 
Ijapokuwa nashindwa kumuita raisi kutokana uharamu wa uchaguzi mkuu uliokwishapita. But she teach us one lesson.

A real or legend warrior never quits no matter what happen.

Japo uongozi wake unadosari nyingi lakini misimamo yake I will take it as a lesson to learning in life
Tulipiga kura hao jamaa wa CDM walikuwa na lengo chafu la kuharibu kila kitu yaani mpaka muda huu walitaka hayo yote yanayofanyika yasiwe na faida yoyote. Walikusudia kuwepo kwa sintofahamu kubwa.

Wakataka Taifa lipotee kwenye ramani ya dunia heshima yote wanayopewa wasomi wenye asili ya ardhi hii huko ughaibuni ipotee kijinga tu!.

Wakumbuke wakatoliki tulisali sala maalum ya kukabidhi kila kitu chini ya ulinzi wa Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili siku moja kabla ya uhuru. Pia waislam walifanya dua nzito huko Bagamoyo kwa ajili ya kuikabidhi Tanzania katika mikono ya Allah.

Hao vikaragosi wa wazungu walikutana na baraka na ulinzi mzito wa Mungu.
 
Assume tungekuwa na mahakama ambayo kosa alilofanya ni kunyongwa na mahakama zetu Tena za ndani tukawa na majaji imara ambao wanajisimamia wenyewe bila political influence what would have happened?
Nimeipenda hii!! Kumbuka mahakama ya haki isingefanya hivyo unavyotaka wewe. Ingeanzia na nini kilipelekea haya. Wanaotaka ukweli watakuambia tatizo lilianza na uharibifu na wizi nk. Serikali jukumu lake ni kulinda mali na raia. Leo ikiwa mali zilianza kuharibiwa, kuibiwa na watu waliokuwa na silaha kushambulia, ulitarajia nini kutoka kwa vikosi vya ulinzi? Hata kule ICC si wangeshatoa amri ya kuitwa mahakamani? Hawajafanya kwasababu wanataka kujiridhisha kwanza badala ya kukurupuka.
assume bunge lingekua smart na kuwapa power wananchi waliolichagua ambao ni wengi nani angeuza bandari?
Ni nani ameuza bandari? Bandari imeuzwa? Bunge lingekuwa smart ni nani angewapa mamlaka kikundi cha watu kujichukulia na kufanya watakavyo? Usisahau ni bandari hii hii ambayo walipewa mamlaka kikundi cha watu kupitisha mizigo bila kutozwa ushuru. Huwa tunasema "ukikataa ya Mussa utaona ya Firauni".
 
Tulipiga kura hao jamaa wa CDM walikuwa na lengo chafu la kuharibu kila kitu yaani mpaka muda huu walitaka hayo yote yanayofanyika yasiwe na faida yoyote. Walikusudia kuwepo kwa sintofahamu kubwa.

Wakataka Taifa lipotee kwenye ramani ya dunia heshima yote wanayopewa wasomi wenye asili ya ardhi hii huko ughaibuni ipotee kijinga tu!.

Wakumbuke wakatoliki tulisali sala maalum ya kukabidhi kila kitu chini ya ulinzi wa Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili siku moja kabla ya uhuru. Pia waislam walifanya dua nzito huko Bagamoyo kwa ajili ya kuikabidhi Tanzania katika mikono ya Allah.

Hao vikaragosi wa wazungu walikutana na baraka na ulinzi mzito wa Mungu.
Old school
 
She teach us one lesson.

A real or legend warrior never quits, no matter what happens.

Japo uongozi wake una dosari nyingi lakini misimamo yake. I will take it as a lesson to learning in life
Kwa alichokifanya, aking'atuka ndiyo mwisho wake, na mwisho wa JK, na mwisho wa family zao, kwani ungekua wewe ungefanyaje? Ubaki upo salama as long as una hold the Barrel Of the gun hadi utakapo shindwa, au sasa hivi uache ushitakiwe?
 
Nimeipenda hii!! Kumbuka mahakama ya haki isingefanya hivyo unavyotaka wewe. Ingeanzia na nini kilipelekea haya. Wanaotaka ukweli watakuambia tatizo lilianza na uharibifu na wizi nk. Serikali jukumu lake ni kulinda mali na raia. Leo ikiwa mali zilianza kuharibiwa, kuibiwa na watu waliokuwa na silaha kushambulia, ulitarajia nini kutoka kwa vikosi vya ulinzi? Hata kule ICC si wangeshatoa amri ya kuitwa mahakamani? Hawajafanya kwasababu wanataka kujiridhisha kwanza badala ya kukurupuka.

Ni nani ameuza bandari? Bandari imeuzwa? Bunge lingekuwa smart ni nani angewapa mamlaka kikundi cha watu kujichukulia na kufanya watakavyo? Usisahau ni bandari hii hii ambayo walipewa mamlaka kikundi cha watu kupitisha mizigo bila kutozwa ushuru. Huwa tunasema "ukikataa ya Mussa utaona ya Firauni".
Rais SSH alitekeleza jukumu la kwanza la kiongozi wa nchi iitwayo Tanzania, alilinda raia na mali zao.

Kuna swali nawauliza hawa waungwana, vipi kama hawa walioleta machafuko wangefika ikulu na kutangaza serikali yao mpya, hizi kelele za SSH kushtakiwa ICC zingesikika muda huu?.
 
Do you think she's alone? anyway, jua kua Africa hakuna kiongozi anaye admit makosa na kuwa responsible sio yeye TU ni Africa nzima, justice system Iko mbovu na ndio kitu kinaniumiza kabisa pindi mahakama zinapovurugwa uwajibikaji na uongozi ni sufuri hamna kitu, Assume tungekuwa na mahakama ambayo kosa alilofanya ni kunyongwa na mahakama zetu Tena za ndani tukawa na majaji imara ambao wanajisimamia wenyewe bila political influence what would have happened? Simple asingetoa amri aliyotoa kwasababu angejua nini kinafuata.

Katiba kuweka mihimiri mi3 maana yake ilitaka uwajibikaji inapofikia situations kama hizo lakini Kwa muktdha huu hatuwezi kusonga mbele kila raisi atakua anakuja na blanda lake maisha yanaendelea assume bunge lingekua smart na kuwapa power wananchi waliolichagua ambao ni wengi nani angeuza bandari? Dhahabu,? Kununua ndege 11+? Gesi? Miradi yenye gharama ziszo halisi? Haya yote Kama una bunge na mahakama huru kiukweli hakuna mjinga mmoja angethubutu mfano china hakuna anaye tempa na mali ya umma kwasababu anajua kitanzi ni halali yake.
Hizi ni porojo tu. Mahakama hata Marekani ina shida, Trump alikuwa akiilalamikia sana kwa kutumwa/kuagizwa kumzonga kwa mashitaka yasiokuwa na kichwa wala mikono. Kabisa inampa Rais wa marekani kuwapa kinga au kufuta makosa kwa yeyote amatakae yeye. mahakama ya Kenya ililalamikiwa sana na akina Raila kununuliwa.

Haki ni mfumo sio tukio. Mfumo wa haki lazima uanzie kwenye ngazi ya familia yako, jamii, taasisi wanakolelewa watoto kama shule/vyuo/majeshi, nk. Huwezi kudai haki Ikulu wakati nyumbani kwako kuna watu ulivunja haki zao, mwalimu amevunja haki za wanafunzi, nk. Kifupi tii sheria bila shuruti la sivyo pambana na mtawala ili ukutane na survival for the fittest. Kama unadhani uko fit kuliko dola basi leta fujo. mwenye nguvu mpishe bhana wewe; na wewe chukua fomu kwaajili ya 2030 au fanya kama walivyofanya Oct 29 kujipima ubavu na dola.

Mimi hapa na wengine wenye akili tunajua kuwa kama nikiona mambo yanakwenda basi mambo yanakwenda vizuri kwenye taifa. Sioni tofauti kubwa sana kati yetu na nchi nyingine za Afrika, na pengine sisi tunaonekana tuko mbele sana. Kelele zenu ni muhimu sana ili serikali isilale fofofo, na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya Mwl Nyerere kupigania uwepo wa vyama vingi hata baada 80% kuvikataa.
 
Do you think she's alone? anyway, jua kua Africa hakuna kiongozi anaye admit makosa na kuwa responsible sio yeye TU ni Africa nzima, justice system Iko mbovu na ndio kitu kinaniumiza kabisa pindi mahakama zinapovurugwa uwajibikaji na uongozi ni sufuri hamna kitu, Assume tungekuwa na mahakama ambayo kosa alilofanya ni kunyongwa na mahakama zetu Tena za ndani tukawa na majaji imara ambao wanajisimamia wenyewe bila political influence what would have happened? Simple asingetoa amri aliyotoa kwasababu angejua nini kinafuata.

Katiba kuweka mihimiri mi3 maana yake ilitaka uwajibikaji inapofikia situations kama hizo lakini Kwa muktdha huu hatuwezi kusonga mbele kila raisi atakua anakuja na blanda lake maisha yanaendelea assume bunge lingekua smart na kuwapa power wananchi waliolichagua ambao ni wengi nani angeuza bandari? Dhahabu,? Kununua ndege 11+? Gesi? Miradi yenye gharama ziszo halisi? Haya yote Kama una bunge na mahakama huru kiukweli hakuna mjinga mmoja angethubutu mfano china hakuna anaye tempa na mali ya umma kwasababu anajua kitanzi ni halali yake.
Common law inaonyesha kuwa kama ukiiba bank utapigwa risasi, ukivamia kituo cha polisi utapigwa risasi na kufa, ukiiba nyumbani kwa mtu utapigwa risasi na mwenyenyumba anaemiliki silaha au kama anafuga mbwa atamuamrisha akung'ate mpaka kufa kama ikibidi, na kama ukifumaniwa ukimla mke wa mtu unaweza kuuliwa kwa njia yoyote ile. Haiwezekani uende ukaibe bank, uchome moto vituo vya polisi, majengo ya serikali, TRA, mwendokasi, sheli, nyumba za watu halafu uwe hai. Wewe nani bana we? tusiwadanganye vijana wafanye vitendo hivyo halafu wategemee kuwa hai.
 
Rais SSH alitekeleza jukumu la kwanza la kiongozi wa nchi iitwayo Tanzania, alilinda raia na mali zao.

Kuna swali nawauliza hawa waungwana, vipi kama hawa walioleta machafuko wangefika ikulu na kutangaza serikali yao mpya, hizi kelele za SSH kushtakiwa ICC zingesikika muda huu?.
Hizi kelele za ICC ni kama zile za mchawi aliyeshindwa kukuroga. Akishindwa kukuroga atakuita mchawi.
 
She teach us one lesson.

A real or legend warrior never quits, no matter what happens.

Japo uongozi wake una dosari nyingi lakini misimamo yake. I will take it as a lesson to learning in life
Hebu orodhesha dosari chache za uongozi wake tuzione, wengine hatuzijui
 
She teach us one lesson.

A real or legend warrior never quits, no matter what happens.

Japo uongozi wake una dosari nyingi lakini misimamo yake. I will take it as a lesson to learning in life
Jifunze pia kwa Museveni
 
Nimeipenda hii!! Kumbuka mahakama ya haki isingefanya hivyo unavyotaka wewe. Ingeanzia na nini kilipelekea haya. Wanaotaka ukweli watakuambia tatizo lilianza na uharibifu na wizi nk. Serikali jukumu lake ni kulinda mali na raia. Leo ikiwa mali zilianza kuharibiwa, kuibiwa na watu waliokuwa na silaha kushambulia, ulitarajia nini kutoka kwa vikosi vya ulinzi? Hata kule ICC si wangeshatoa amri ya kuitwa mahakamani? Hawajafanya kwasababu wanataka kujiridhisha kwanza badala ya kukurupuka.

Ni nani ameuza bandari? Bandari imeuzwa? Bunge lingekuwa smart ni nani angewapa mamlaka kikundi cha watu kujichukulia na kufanya watakavyo? Usisahau ni bandari hii hii ambayo walipewa mamlaka kikundi cha watu kupitisha mizigo bila kutozwa ushuru. Huwa tunasema "ukikataa ya Mussa utaona ya Firauni".
Kobazi
 
Back
Top Bottom