Common law inaonyesha kuwa kama ukiiba bank utapigwa risasi, ukivamia kituo cha polisi utapigwa risasi na kufa, ukiiba nyumbani kwa mtu utapigwa risasi na mwenyenyumba anaemiliki silaha au kama anafuga mbwa atamuamrisha akung'ate mpaka kufa kama ikibidi, na kama ukifumaniwa ukimla mke wa mtu unaweza kuuliwa kwa njia yoyote ile. Haiwezekani uende ukaibe bank, uchome moto vituo vya polisi, majengo ya serikali, TRA, mwendokasi, sheli, nyumba za watu halafu uwe hai. Wewe nani bana we? tusiwadanganye vijana wafanye vitendo hivyo halafu wategemee kuwa hai.