Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika.
Samia angeweza kuwashinda wakina lissu, kwanini lissu akubalike lakini samia asikubalike, hapana samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuonesha na kufanya awe kinara wa siasa na anaye kubalika.