The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,968
- 13,439
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa unyama alioonyesha Samia ambaye wengi walihadaika kuwa ni mwamamke angekuwa gentle, akimteua Tulia asiyetulia mwanamke mwenzake itakuwaje?
Je, watanzania watamkubali au kumfurusha?
Je, watanzania watamkubali au kumfurusha?