Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Tena ni msuper, huyu ukienda nae restaurant aibu utaona wewe.Hivi ni dada?
Tehteh... nilijua wa kiume mimiTena ni msuper, huyu ukienda nae restaurant aibu utaona wewe.
Rafiki yangu alikuwa anasoma Muhimbili long time ago, ni mzuri sana huyu dada lakini ametokea huko mashamba, yani kuja Dar ilikuwa ni sababu ya shule. Kijana ni dr lakini kwao zipo sana alisoma medicine Ulaya amerudi yuko serious anatafuta mke. Kumwona bi shost guu chupa ya bia, hips usiseme ngozi chocolate, amemtoa date, wamekwenda Kempinsky sijui jina nimepatia, basi ile wamefika tu wameanza na starter, bakuli la supu limekuja dada akalibeba akaanza kuria, wamemaliza ameletewa main course grilled fish, mdada akaanza kutoa miba kwa mikono. Baada ya ile date mkaka alilipa bill akamchukulia tax nje. Kesho yake walipishana kwenye corridor mkaka alikauka kama hamfahamu dada.Tehteh... nilijua wa kiume mimi
Teh tehRafiki yangu alikuwa anasoma Muhimbili long time ago, ni mzuri sana huyu dada lakini ametokea huko mashamba, yani kuja Dar ilikuwa ni sababu ya shule. Kijana ni dr lakini kwao zipo sana alisoma medicine Ulaya amerudi yuko serious anatafuta mke. Kumwona bi shost guu chupa ya bia, hips usiseme ngozi chocolate, amemtoa date, wamekwenda Kempinsky sijui jina nimepatia, basi ile wamefika tu wameanza na starter, bakuli la supu limekuja dada akalibeba akaanza kuria, wamemaliza ameletewa main course grilled fish, mdada akaanza kutoa miba kwa mikono. Baada ya ile date mkaka alilipa bill akamchukulia tax nje. Kesho yake walipishana kwenye corridor makaka alikauka kama hamfahamu dada.
Haaaaa aliona hapa gharama za lishe. Ndio kama yule kijana aliyetombea na binti wa kindendeule akawa hakati kiuno. Kesho yake hata salamu hakuna duuuhRafiki yangu alikuwa anasoma Muhimbili long time ago, ni mzuri sana huyu dada lakini ametokea huko mashamba, yani kuja Dar ilikuwa ni sababu ya shule. Kijana ni dr lakini kwao zipo sana alisoma medicine Ulaya amerudi yuko serious anatafuta mke. Kumwona bi shost guu chupa ya bia, hips usiseme ngozi chocolate, amemtoa date, wamekwenda Kempinsky sijui jina nimepatia, basi ile wamefika tu wameanza na starter, bakuli la supu limekuja dada akalibeba akaanza kuria, wamemaliza ameletewa main course grilled fish, mdada akaanza kutoa miba kwa mikono. Baada ya ile date mkaka alilipa bill akamchukulia tax nje. Kesho yake walipishana kwenye corridor makaka alikauka kama hamfahamu dada.
Duuuh.... pole zake ila angemfundisha....maana sio tatizo lake ni kutokujua tuRafiki yangu alikuwa anasoma Muhimbili long time ago, ni mzuri sana huyu dada lakini ametokea huko mashamba, yani kuja Dar ilikuwa ni sababu ya shule. Kijana ni dr lakini kwao zipo sana alisoma medicine Ulaya amerudi yuko serious anatafuta mke. Kumwona bi shost guu chupa ya bia, hips usiseme ngozi chocolate, amemtoa date, wamekwenda Kempinsky sijui jina nimepatia, basi ile wamefika tu wameanza na starter, bakuli la supu limekuja dada akalibeba akaanza kuria, wamemaliza ameletewa main course grilled fish, mdada akaanza kutoa miba kwa mikono. Baada ya ile date mkaka alilipa bill akamchukulia tax nje. Kesho yake walipishana kwenye corridor makaka alikauka kama hamfahamu dada.
Haikuwa gharama za lishe pastor binti alikuwa too unsophisticated.Haaaaa aliona hapa gharama za lishe. Ndio kama yule kijana aliyetombea na binti wa kindendeule akawa hakati kiuno. Kesho yake hata salamu hakuna duuuh
Kijana brother aliona noma.Duuuh.... pole zake ila angemfundisha....maana sio tatizo lake ni kutokujua tu
Ila kiukweli kuna ushamba unakatisha tamaa saana na ukute alishajitanabaisha na kujisifu before date. Ni mbaya saana. Kudate na mtu mshamba inahitaji mtu mwenye moyo wa kipekeee saana.Kijana brother aliona noma.
Afadhali hata wangeanza kunywa soda canteen angemfahamu mwenzake, yeye ameanza na 5* hoteli.Ila kiukweli kuna ushamba unakatisha tamaa saana na ukute alishajitanabaisha na kujisifu before date. Ni mbaya saana. Kudate na mtu mshamba inahitaji mtu mwenye moyo wa kipekeee saana.
Kwamba angeanza kuobserve ushikaji wa chupa na uingizaji wa chupa mdomoni.Afadhali hata wangeanza kunywa soda canteen angemfahamu mwenzake, yeye ameanza na 5* hoteli.
Lakini shost na ushamba wake kichwa alikuwa very bright, mpaka sasa yuko single ingawa ana watoto wake, unaweza kukutana nae mjini ukafikiri huyu anaishi hapa Dar?Kwamba angeanza kuobserve ushikaji wa chupa na uingizaji wa chupa mdomoni.
Maana kula wale wenzangu anaishika chupa ya Pepsi kwa mikono miwili na kwa upande wa mdomo anaingiza ndani akiichomoa unaskia thoook..hahah
Hongera zake.Lakini shost na ushamba wake kichwa alikuwa very bright, mpaka sasa yuko single ingawa ana watoto wake, unaweza kukutana nae mjini ukafikiri huyu anaishi hapa Dar?
Duh!!Kijana aliye?[emoji101] [emoji101]Haaaaa aliona hapa gharama za lishe. Ndio kama yule kijana aliyetombea na binti wa kindendeule akawa hakati kiuno. Kesho yake hata salamu hakuna duuuh