roboka kafwekamo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 821
- 451
Mh huyu unaweza kutoka siku moja japo chakula cha jion!?
Huyo bidada atakuwa katoka kwenye ubavu wangu basi tu hatujaweza kukutana mimi hao grilled fish nawameza walivyo ,mifupa watakula minyooRafiki yangu alikuwa anasoma Muhimbili long time ago, ni mzuri sana huyu dada lakini ametokea huko mashamba, yani kuja Dar ilikuwa ni sababu ya shule. Kijana ni dr lakini kwao zipo sana alisoma medicine Ulaya amerudi yuko serious anatafuta mke. Kumwona bi shost guu chupa ya bia, hips usiseme ngozi chocolate, amemtoa date, wamekwenda Kempinsky sijui jina nimepatia, basi ile wamefika tu wameanza na starter, bakuli la supu limekuja dada akalibeba akaanza kuria, wamemaliza ameletewa main course grilled fish, mdada akaanza kutoa miba kwa mikono. Baada ya ile date mkaka alilipa bill akamchukulia tax nje. Kesho yake walipishana kwenye corridor mkaka alikauka kama hamfahamu dada.
huyo sio dada ni kaka, wadada hawakulagi kihivyo, hapo mtu anashiba mpaka ananuka mafi.Huyu dada aliambiwa leo ndiyo mwisho wa kula?
Ni kweli kumuacha bdo hakujasaidiaDuuuh.... pole zake ila angemfundisha....maana sio tatizo lake ni kutokujua tu