Same kuna nini? Kwanini ajali zimekuwa nyingi?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,823
Lazima tutafakari kwa pamoja.

Nitakuwepo kwenye mazishi ya watakaokosa ndugu zao, nitakuwepo kwa kuaga watakaokuwa na ndugu, nitakuwepo kwenye ibada leo pale Same.

Ila nina swali hili:
Mbona watu wanaofanya vitu vinavyomtukuza Mungu na kumpa sifa anazostahili Mungu wanapata ajali na kufia Same? Waliokufa wengi kwenye gari aina ya Costa ni wakazi wa Same Mjini waliokuwa wanaenda kwenye sherehe ya ndoa.

Soma Pia: Idadi ya vifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba vimefika 42

Je, kwa nini Mungu hakuwa nao au viunga vya Same ni vizito?

Kumbuka siku za hivi karibuni wanakwaya kadhaa walipoteza maisha kwa ajali hapa hapa wilaya ya Same
 
Lazima tutafakari kwa pamoja
Nitakuwepo kwenye mazishi ya watakao kosa ndugu zao , nitakuwepo kwa kuaga watakao kuwa na ndugu nitakuwepo kwenye ibada Leo pale same

Ila naenda na swali Ili

Mbona watu Wana no fanya vitu vinavyomtukuza Mungu na kumpa sifa anazostaili Mungu UPATA AJALI NA KUFIA SAME ?

WALIOKUFA WENGI KWENYE GARI AINA YA COSTA NI WAKAZI WA SAME MJINI WALIOKUWA WANAENDA KWENYE SHEREHE YA NDOA

JE kwa Nini Mungu hakuwa nao au viunga vya same ni vizito?

Kumbuka siku za hivi karibuni wanakwaya kadhaawalipoteza maisha kwa ajali hapa hapa wilaya ya same
Je same mkoani Kilimanjaro kunani? Tutafakari pamoja kwa mnao kuja uwanjani karibuni mtaniona live sifileo Nina
Sifa zifatazo
Mchokonoko, mbea na ntakuwa nimevalia sura ya uzuni bandia.
Pelekeni wataalamu wa barabara wakachunguze, tengenezeni dual roads highway zote.
 
Wapumzike mahali wanapostahili.
Nimeona namba inaongezeka!
 
Hii mada natamani angeiona Baba askofu Bagonza nadhani angekuja na majibu au ushauri mzuri
 
Lazima tutafakari kwa pamoja
Nitakuwepo kwenye mazishi ya watakao kosa ndugu zao , nitakuwepo kwa kuaga watakao kuwa na ndugu nitakuwepo kwenye ibada Leo pale same

Ila naenda na swali Ili

Mbona watu Wana no fanya vitu vinavyomtukuza Mungu na kumpa sifa anazostaili Mungu UPATA AJALI NA KUFIA SAME ?

WALIOKUFA WENGI KWENYE GARI AINA YA COSTA NI WAKAZI WA SAME MJINI WALIOKUWA WANAENDA KWENYE SHEREHE YA NDOA

JE kwa Nini Mungu hakuwa nao au viunga vya same ni vizito?

Kumbuka siku za hivi karibuni wanakwaya kadhaawalipoteza maisha kwa ajali hapa hapa wilaya ya same
Je same mkoani Kilimanjaro kunani? Tutafakari pamoja kwa mnao kuja uwanjani karibuni mtaniona live sifileo Nina
Sifa zifatazo
Mchokonoko, mbea na ntakuwa nimevalia sura ya uzuni bandia.
Kuna zima moto same? tuanzie japo, Ajari hata kww Wazungu zipo ila wana vifaa. vya uokoaji. Hapo same bila shaka kuna V8 sio chini ya 3
 
Lazima tutafakari kwa pamoja
Nitakuwepo kwenye mazishi ya watakao kosa ndugu zao , nitakuwepo kwa kuaga watakao kuwa na ndugu nitakuwepo kwenye ibada Leo pale same

Ila naenda na swali Ili

Mbona watu Wana no fanya vitu vinavyomtukuza Mungu na kumpa sifa anazostaili Mungu UPATA AJALI NA KUFIA SAME ?

WALIOKUFA WENGI KWENYE GARI AINA YA COSTA NI WAKAZI WA SAME MJINI WALIOKUWA WANAENDA KWENYE SHEREHE YA NDOA

JE kwa Nini Mungu hakuwa nao au viunga vya same ni vizito?

Kumbuka siku za hivi karibuni wanakwaya kadhaawalipoteza maisha kwa ajali hapa hapa wilaya ya same
Je same mkoani Kilimanjaro kunani? Tutafakari pamoja kwa mnao kuja uwanjani karibuni mtaniona live sifileo Nina
Sifa zifatazo
Mchokonoko, mbea na ntakuwa nimevalia sura ya uzuni bandia.
Umejuaje kwamba wanamtukuza Mungu mioyoni mwao?
Kumtukuza Mungu ni zaidi ya kuhudhuria kanisani.
Kumtukuza Mungu ni kuweka kanisa rohoni mwako. Kumtukuza moyoni. Humo ndio nguvu za Mungu zinakaa. Ukiweza kufanya hivyo utakua na nguvu za ajabu. Kukiwa na jambo baya linapangwa zidi yako utakua unajua hata kabla halijatokea. Hivyo utalizuia halitatokea. Soma sana biblia na kufanya maombi wewe binafsi hilo ndio kanisa la kweli. Na yapo baadhi ya makanisa waumini wake ni wahudhuriaji wa kanisani lakini huko kanisani hawana nguvu za Mungu.
 
Back
Top Bottom