Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,391
Ingawa wewe unamshangaa yeye na mimi ninakushangaa wewe kwenye uzi wa kuhusu Samatta kuonekana Germany umecomment nini sasa ?.., ingawa na mwingine atakuwa na haki ya kunishangaa mimi kuendeleza huu mnyororo wa habari ambazo hazimsaidii mleta uzi kupata information..Wee jamaa siku hizi sijui umekuwaje.
Sasa ndio umereply nini.
Si bora ungetulia.
Taabu Sana...