Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 19,531
- 42,963
Leo unampa ngapi.? 🤔🤔🤔
Leo unampa ngapi.? 🤔🤔🤔
Leo unampa ngapi.?
😂😂😂 Natangaza rasmi kuwa, mm na mtoa mada a.k.a tambi tambi tumekusameheSorry mkuu.. nilitokea kilabuni
Watu kama nyie kwanini mmewahi kujiuliza kwanini mnaishi?
Watu kama wewe kwenye vijiwe vya Kahawa naweza nikakupiga mdomo.Uchambuzi uchwala huo.. hivi unamjua giroud wewe?? Giroud ana ufundi gani au anakaba?? Uliza ni msimu wa ngapi yupo EPL..
Kuna aina mbili au tatu za namba 9... kuna ile aina ya Firmino , aina ya Aguero na aina ya Samatta..wanaojua mpira wamenielewa..
BTW kocha kaona aina ya uchezaji wake tangu Genk na bado kamsajiri sasa wewe ni nani toka Tz useme hawezi fit Aston villa??
Wewe unayejua tuelezeeHuyo mtoa mada hajui chochote, achana nae
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alafu halina uelewa mdogo kama wako kwa kumtupilia mbaliWewe huna uelewa mkubwa kama benchi la ufundi la Villa lililompa kandarasi ya miaka 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani nilikosea kujaji analysis hii, nadhani mleta uzi yupo sahihi.
Nimeangalia juzi akianzia bench ikanipa wasiwasi na asivyo kuwa mtu wa kutafuta mpira, nahisi anaweza sugua banch zaidi
Ila Waingereza bana wana vimambo mambo vyao vya ubaguzi
Sasa yule Davis kamzidi nini Samatta? Angalau hata Samatta alifunga magoli mawili lile jamaa halijafunga kabisa afu juzi wameliongezea mkataba au kwasababu ni mtoto wa kwao ndomana wanakaa kimya
R9? acha masihara bro kaanglie clip zake YouTubeHakuna mchezaji aliekuwa wa kuandaliwa mpira kama Ronaldo de Lima ila alitoboa vizuri sana!
Mtaambia nn watuHakika nakwambia Ukiendelea hivi bado kijana ukizeeka utakuwa Mwanga.!
Kama ni bahati watanzania tupo wangapi mbona hatujabahatika wote.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nampa -1%
mtaambia nn watu
duuh, aiseeDaah umenikumbusha mbali sana mambo ya Ruud van Nesteroy mtaalamu wa kumalizia tu hakua na mambo mengi huyu jamaa!! hao jamaa wanao mponda samata watakua Wachawi!! Watanzania tunalogana sisi wenyewe badala ya kumtakia mtu baraka na fanaka tele!! Eti hatamaliza maada za kipumbavu kama hizi huwa sizipendi zinanichefua sana
Alihitaji muda pale aston villa,sema jamaa ile nusurika yao ya kushuka daraja,hawana muda wa kumpa mtu aje kukaa sawa,yule dogo waliemsajili toka timu ya daraja kwanza,match 3 na zote katupiamtaambia nn watu
Sikubaliani na wewe hata kidogo,kwanza jiulize samatta amekaa uingereza muda gani?na je toka alipofika aliqeza kupata nafasi ya kuzoeana na wenzie?.Toka alipofika hakufanikiwa kuwa na wachezaji wenzie kwa muda mrefu ikaja corona,kwahiyo hakuweza kufanya kazi na wenzie kwa muda mrefu ili aweze kuuzoea mchezo wa uingerezaNajua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia . Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Wewe unayejua tuelezee