Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Niliwahi kusema hili kwa uzuri tu. Sio kwasababu ya wivu lakini ilikua UHALISIA. Naona tunaanza kuyaona, kitu muhimu ni kuandaa watoto tokea chini kabisa kwaajili ya masafa ya ligi kama EPL. Hongera kwake pia kwa kutuandikia historia ambayo haijawahi kuandikwa na yeyote yule
Mkuu nasubir utabiri wako kwangu, au haujaona comment yangu.?
 
Unakuja kumponda kwa kucheza mechi sita na kufunga goli tatu, hapo hakupewa mipira ya kutosha na wenzake. Utadhani alicheza misimu kumi, kwa jinsi mnavyomshambulua
 
Ushauri kwa wale wote mliomponda mtoa mada, rudini mka-edit koment zenu

Nngekuwa n mm bc mapema sana nngefanya hvy
 
Back
Top Bottom