Samata tayari kwenye line up ya Genk, njia nyeupe

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
5,194
2,110
striker mwenye goli nyingi ni kebano mwenye goli5 mech 25
 
Screenshot_2016-01-31-13-42-44.png
 
genk imecheza mech 24 imefunga 10 draw5 loose9

ipo nafasi ya 6 JUmla ya timu ni 16 club inayoongoza ligi ni gent ina poin 45 huku genk ina point 35
 
yani hapa akiwa anatupia magoli kama alivyokuwa Mazembe kutakuwa kuna uwezekano mpaka 2017 akatua England kwenye vombo vya habari vingi na mshahara mzuri zaidi
:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom