Samani za majumbani, na ofisini

Inawezekana kweli hujawahi kukutana na vitu kama hivyo, njoo ujionee mwenyewe utakubaliana na hiyo bei
[emoji23] [emoji23] Mdf milango miwili laki 6 hapana asante

Rubiikimimi[emoji85]
 
Sambusa zanyama zikijaza 2doors za kabati basi bei ya laki6 itakua sahihi

Rubiikimimi[emoji85]
 
We mleta mada itakua ulidanganywa kuhusu jamiiforums, uliambiwa members wote ni millionaires ndo maana unakuja na bei za ajabu ajabu.
We maisha ya kibongo ninunue kitanda laki 9? Au hujui bidhaa zako unamlenga mteja gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfanya biashara haogopi audience wewe, kama huna hela piga kimya, unafikiri biashara nimeanza leo? Umeambiwa huku jf wote mko sawa? Kuna watu wana hela hawajui vitu vizuri wanavipata wapi!! Mimi natangaza, una hela nunua, huna kausha!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo samani za kuuzwa bei hiyo sasa?
Kua serious mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…