Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

Yangenunuliwa makochi ya gharama hawa hawa ndio wangekuja huku kulalamika matumizi mabaya.
 
kwan we mkuu ushatembeleaga ikulu
Hapana mkuu. Mimi mtu mdogo sana na sina connections zozote zile. Inaelekea nitakufa bila kutia mguu pale.

Lakini Ikulu panatembelewa na watu wazito wa ndani na wa kimataifa. Ni muhimu papendeze.
 
Ikulu zenye fanicha nzuri ni za waarabu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…