Samani za Benki ya Exim nchini kupigwa mnada

Samani za Benki ya Exim nchini kupigwa mnada

Mabenki JPM ili kutoharibu uchumi, aliangalie sana. NI ushauri tu maana benki moja inapokufa kuna athari sana, hasa kwa wananchi wenye kutumia huduma za kibenki
Hapa JPM ameingiaje? Shauri hilo liiiamza kabla hata hajawa rais, sheria lazima ifuatwe, pesa inapoteaje kwenye acc...kwa kifup exim wanajua ni namna gani walipiga hio pesa, wameshindwa kesi mara 3 hata hii wakikata rufaa watashindwa, exim ndio bank inayoongoza kua na kesi nyingi na wateja wake hapa nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanashindwa kuchomoa za wateja wengine maana nao watakuwa makini sahivi katika kuchungulia account zao!
 
Back
Top Bottom