Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Samani ni furniture
Na ninaamini ndicho mtoa mada alichomaanisha na si THAMANI.
Samani ni furniture
Hujaelewa nini? kuna mteja wa hiyo benki anaidai hiyo Bank Tsh Billion 1 na Exim wanajifanya kuzinguka wasilipe sasa kesi ilikuwa Mahakamni mwisho wa siku Hukumu imetoka kama hawawezi kulipa basi Samani zipigwe mnada mpaka kiasi hicho cha edha kipatikane huyo mtu alipwe.
We jamaa hapo kwa wafanyakazi "kukaa chini sakafuni" nadhani ungepaacha hahaha kwani lazima wakae?Thamani za Benki za Exim katika Matawi yote hapa nchini zitapigwa mnada kwa amri ya Mahakama baada ya benki hiyo kushindwa kulipa deni LA mteja wao ambapo pamoja na gharama mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa kesi kwa zaidi ya miaka 13 ,limefika kiwango cha zaidi ya sh,Bilioni 1.
Maamuzi ya Mahakama yalifanyika Jana na utekelezaji wake unaanza muda huu
Hivi sasa Dalali wa Mahakama yupo ndani ya benki hiyo tawi LA Arusha ili kuanza utekelezaji wa kutoa vitu nje ikiwemo viti,meza, laptops,Kompyuta na vingine jambo litakalo walazimu wateza na wafanyakazi wa benki hiyo kukaa chini ya sakafu .
Kwa mujibu wa nakala ya hukumu ,zoezi hilo litatekelezwa katika matawi yote ya benki hiyo yaliyopo hapa nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohoooo sawa mkuu....kwahiyo ndo mpaka Exim branches zote nchini samani zao zitauzwa sio?Hujaelewa nini? kuna mteja wa hiyo benki anaidai hiyo Bank Tsh Billion 1 na Exim wanajifanya kuzinguka wasilipe sasa kesi ilikuwa Mahakamni mwisho wa siku Hukumu imetoka kama hawawezi kulipa basi Samani zipigwe mnada mpaka kiasi hicho cha edha kipatikane huyo mtu alipwe.
Unafungua nyuzi ngapi kuhusiana na hii habari mkuu...we ni auction mart?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla mpaka 1 Bilion ipatikane na mwenyewe apewe sio lazima ziuzwe zote ila kwa kuuza tu viti na meza na makabati na makochi watauza mangapi? si nchi nzima hiyo?Oohoooo sawa mkuu....kwahiyo ndo mpaka Exim branches zote nchini samani zao zitauzwa sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kesi naisikiasikia tu, hivi ni nani hasa anayewadai hawa jamaa na ilikkuwaje hasa? Mwenye information kamili atujuze wakuu!Samani za Benki za Exim katika Matawi yote hapa nchini zitapigwa mnada kwa amri ya Mahakama baada ya benki hiyo kushindwa kulipa deni LA mteja wao ambapo pamoja na gharama mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa kesi kwa zaidi ya miaka 13 ,limefika kiwango cha zaidi ya sh,Bilioni 1.
Maamuzi ya Mahakama yalifanyika Jana na utekelezaji wake unaanza muda huu
Hivi sasa Dalali wa Mahakama yupo ndani ya benki hiyo tawi la Arusha ili kuanza utekelezaji wa kutoa vitu nje ikiwemo viti,meza, laptops,Kompyuta na vingine jambo litakalo walazimu wateza na wafanyakazi wa benki hiyo kukaa chini ya sakafu .
Kwa mujibu wa nakala ya hukumu ,zoezi hilo litatekelezwa katika matawi yote ya benki hiyo yaliyopo hapa nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unamshambulia mleta mada?! Hiyo taarifa aliyoleta ni yakweli, ila EXIM wamekata rufaa.Uzwazwa wa level za juu....haijawah kutokea wala haitotokea...huyu aliyetoa huu uzi hamna analolijua...kwa maana nyingine ni mpumbavu na siyo mjinga
Wafanyakazi katika benki ya EXIM Tawi LA Arusha wamelazimika kukaa chini bila viti wala meza baada ya Mahakama kuu kanda ya Arusha, kuridhia kuuzwa kwa samani zake za ndani,kutokana na kushindwa kulipa deni LA sh,bil.1.3 wanazodaiwa na mteja...tazama meza na viti vinavyoshombwa ili kupigwa mnada Feb. 16 mwaka huu.
View attachment 1015022View attachment 1015037View attachment 1015038View attachment 1015039View attachment 1015040