Hao sato unawavua mwenyewe au unanunua. Kuna wimbi la uvuvi haramu sana ziwa Victoria kwa kutumia sumu kama DDT na THIODANE. tambua na hilo mie nayajua hayo japo ni mhangaNauza tilapia fresh kutoka mwanza kwa order, per week naweza supply 150 kg, na dagaa wasafi kutoka mwanza, samaki waliokaushwa kwa chumvi au moshi kwenda mikoani
Mi nataka kujua bei ya samaki walikaushwa na chumviNauza tilapia fresh kutoka mwanza kwa order, per week naweza supply 150 kg, na dagaa wasafi kutoka mwanza, samaki waliokaushwa kwa chumvi au moshi kwenda mikoani