Samaki wenye sumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki wenye sumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAHEPE, Jul 28, 2011.

 1. M

  MAHEPE Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu,  Pengine kutokana na mgawo wa Umeme wengi wenu mtakuwa hamjazisikia hizi habari ya kutisha.  Wameingizwa hapa nchini samaki kutoka Fukushima ambao wanadhaniwa kuwa na sumu itokanayo na mionzi ya Nuclear kufuatia kuvuja kwa mitambo hiyo bada ya tetemeko lililoikumba Japan miezi michache iliyopita.  Samaki hawa walikataliwa huko Japan na hivyo wafanya biashara wasio waaminifu wakapata vibali feki na kuwaleta hao samaki zaidi ya tani 225 Dar esalaam.  Bahati nzuri TFDA wamefanya kazi usiku wa kuamkia leo na kukamata shehena kubwa lakini wameonya bado kuna samaki wameingia madukani hapa Dar na Morogoro hivyo wanaendelea kufanya msako na tayari mfanyabiashara huyu asiye mwaminifu anasaidiana na Polisi.

  ONYO:

  Kwa wale tunaopenda samaki na tuna mazoea ya kununua Frozen Fish kwenye supermaket na maduka mengine kama hayo tunaombwa tujihadhari na kuwa waangalifu tusije tukalishwa sumu sisi na familia zetu.
   
 2. N

  NKYALU Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  This is very important message. Please JF memebers try ti spread it as BUSH FIRE
   
Loading...