Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,196
Kuna movie inaitwaga hilo Jina iko poa poa sanaVipi kuhusu piranha?
Mshana njoo huku uthibitishe kama ni kweli hafai.Dah huyu kwa wapare hafai.Hata picha yake huwezi kumangia ugali.
Piranha ni moto wa kuotea mbali yaani wanashambulia kama hamna serikaliVipi kuhusu piranha?