Sijawahi pata samaki aliye haiNaamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,
Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza,
Je na namna aliyotolewa uhai nayo hujui?Sijawahi pata samaki aliye hai
Ukiwa mtu mwenye kipato, unaeweza kumudu chakula bila wasiwasi, ni rahisi sana kutoa kauli ya namna hiyo.Naamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,
Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza, unafika nyumbani na lijibesi lako unajifanya umetoka kununua samaki kumbe umeokotaaa... Daaah
Khaaaa, hili nalo linahitaji mjadala wa kiuchumi?Ukiwa mtu mwenye kipato, unaeweza kumudu chakula bila wasiwasi, ni rahisi sana kutoa kauli ya namna hiyo.
You sound like a highly privileged black kid!
Tahadhari! Wana JF wa Dar jiepusheni na samaki hao ni hatari kwa afya ya binadamu.SAMAKI KIBAO WANAELEA KATIKA BAHARI YA HINDI ENEO LA AGA KHAN JIJINI DAR. WANANCHI WANAFANYA KUOKOTA TU.
HAIJULIKANI CHANZO CHA SAMAKI HAO KUELEA.
Hofu ni juu ya madhara yatakayotokana na samaki hawa. Ni sumu gani imewaua samaki hawa?
View attachment 1862662
View attachment 1862663
View attachment 1862664
View attachment 1862665
View attachment 1862666
View attachment 1862667
Kule FERI, KUNDUCHI, nk, kesho watu watauziwa bila kujua kinachojiriNaamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,
Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa mwenyewe unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza,
unafika nyumbani na lijibesi lako unajifanya umetoka kununua samaki kumbe umeokotaaa ukiua familia???
Watanzania wengi wapenda dezoNaamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,
Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa mwenyewe unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza,
unafika nyumbani na lijibesi lako unajifanya umetoka kununua samaki kumbe umeokotaaa ukiua familia???
DahUkiwa mtu mwenye kipato, unaeweza kumudu chakula bila wasiwasi, ni rahisi sana kutoa kauli ya namna hiyo.
You sound like a highly privileged black kid!