samaki wa mapambo wanauzwa bei nafuu

images
 
Hivi kwa nn hawa samaki hawaliwi? Wanasumu ama ni nini!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Halaf mkuu ujue kwenye biashara bei nayo nikivutio!. Weka bei utatukamata wengi.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Halaf mkuu ujue kwenye biashara bei nayo nikivutio!. Weka bei utatukamata wengi.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

hiii ni biashara kama ya wamachinga kuweka bei ni kuharibu soko la wenzako ni biashara ya mapatano sana ila kuna samaki kuanzia 1000 kwa mmoja hadi 20000 kwa mmopja inategemea na aina gani unataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom