Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
Zimamoto wakitafakari jinsi ya kuzima moto huo.
Zimamoto wakizima moto katika gereji ya Xenco iliyopo jirani na baa iliyoteketea.
Wananchi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika baa ya Samaki Samaki.
Kikosi cha zima moto cha wizara ya mambo ya ndani hawajafika bado!?
sasa ww mtoa taarifa uko kwenye eneo la tukio lakini umeshindwa kutueleza chanzo cha moto huo ni nini? Hata mie nimepita na gari nimeona au niseme tu nimeona bomoa bomoa ya magufuli uwenda lile greda limegusa waya za umeme ikasababisha shoti ni mawazo yangu
Acha lawama ww atoe chanzo kwani yy muhusika...?????
Kwan mtoa mada ni msemaji wa jeshi la polisi?