Samaki mkunje angali mbichi

NO JUNIA NOOOH! huku kengele zina ning'inia! akyanani kama mimi ndio baba nakuwasha kofi la kitakatifu

No junia Noooh
 
Watoto Kama hao dawa yao huwa ni hio tu
Safsana
ila wazaz wao huwa wakali wakikugundua umefinya!
Mm nafinyaga masikio tu
 
Nmecheka kwa sauti ad majiran wameniskia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo ad nmetokwa choz kwa kucheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii sehem imenchekesha sana mkuu hongera kwa kumdespline junia

Basi nilikishika mkono nikakitolea macho na kukifinya vizuri mgogongoni. Kwanza kilitoa macho kama kinataka kufa, kikaniangalia hakiamini akili yake kuwa kimefinywa na binadamu aliye hai, na mie nikakiambia kwa sauti ya chinichin... "We Junya[emoji45] ukinisogelea tena nakukata masikio kabisa".
 
daaah safi sana ... huyo junyaa kaipata pata
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka stress za kodi zimekata
 
Hahaha hahaha hahaha.....mm wangu hatuelewani hata kidogo kwasbb ananiona mkali tuwapende watoto tusiwadekeze kupita kiasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…