Samaki asiyegeuzwa...

raha ya samaki ageuzwe babu wewe ili upate utam wa kila sehem
 
Hivi ukila samaki unamgeuza saa ngapi jamani? Ukimaliza kipande cha juu toa mfupa/mwiba wa kati na uendelee kufaidi pande lililosalia.

Ila hii style ya leo ya kumuweka juu juu tena!
 
twende basi leo Kawe Club tukale samaki na ndizi mzuzu..........

Hivi Preta ile safari ya jumba la Mbezi Beach nilokuwa naipigia debe kila siku ilishafanyika? Maana naona hapa unamkaribisha Boflo Kawe Club.
 
Last edited by a moderator:
aiseeee babaangu mi napenda kazi ya kupara samaki,,, bofloo wewe unapenda kazi gani??? Miwa au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…