Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Ni tukio la ajabu limetokea kando kando ya ziwa Victoria baada ya binti kuchuchumaa ateke maji amwagilie vitunguu na nyanya samaki wa nchi 4 aina ya sato akaruka toka kwenye maji na kuingia sehemu za siri za binti wa miaka 14 alivyo jaribu kumvuta akawa anasikia maumivu makali sana.
Chanzo: Masau Bwire wa Wapo FM.
Chanzo: Masau Bwire wa Wapo FM.