Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
Masikini... Hebu ona hata viatu walivyovaa! Mungu ona hii!!!
Halafu wakirudi darasani wanakaa chini kwenye mavumbi huku gavana wa benki kuu akitanua kwenye jumba lake lenye bwawa la kuogelea na viyoyoyozi na makorokoro mengine yaliyoagizwa toka majuu...