Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

pia hio inaweza kuwa sababu alitegemea tumwambia aah huyo demu ni mkali ana makalio balaa

bullshit
HAMNA MKUU Iko hivi mara ya kwanza NILIMUOMNA AMANI stadium, SHIDA alikua na wapambe, nikazinda, uvumilivu umenishinda nataka hii Mali jaPO Kuna MUDA inamsifia MWANAMUME wake HAPO NDO NIKASTUKA HUYO man ni mume au mshika dau tu
 
inaenda kupoteza muda wako Bure..
 
Huyo demu sio saiz yako.

Binafsi simjui, ila kwa muonekano wake, na jinsi anavyojipost/jitangaza kwenye mitandao ya kijamii, profile yake ni kubwa kuliko yako(japo sikujui)

Huyo demu kuna sehemu ameenda wewe utaishia kuzisikia kwenye redio au kuziona kwenye muvi
 
Hapana ameshika DINI HANA SHIDA huwa anasoma Quran HAPO nikimpanga VIZURI namuoa hata KWA buku Tano TU ndo Raha ya uislamu, cha kwanza nataka NIJUE KAMA Kesha olewa au BADO, HAPO tu ndo tajua nifanyeje
 
Back
Top Bottom